Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,973
6,606

Waziri mpya Wizara ya Utumishi Mh.Huruma Mkuchika amenena kuwa kwa sasa hawatapandisha mishahara ya watumishi wa umma mpaka uhakiki ukamilike.

Mkuchika amedai kwamba kuna watumishi 40, 000 wamefoji umri kwa hiyo watafanya uhakiki kwanza na kuchukua hatua kabla ya kupandisha mishahara
 
Waziri mpya Wizara ya Utumishi Mh.Huruma Mkuchika amenena kuwa kwa sasa hawatapandisha mishahara ya watumishi wa umma mpaka uhakiki ukamilike

Mkuchika amedai kwamba kuna watumishi 4000 wamefoji umri kwa hiyo watafanya uhakiki kwanza na kuchukua hatua kabla ya kupandisha mishahara.

Kauli hizi zimetolewa wakati Mawaziri Kairuki na Mkuchika wakikabidhiana ofisi mbele ya waandishi wa habari

My Take
Hungry man is an angry man.
 
Amejuaje kama wapo hyo idadi,so wanahakiki nini wskati wana idadi.Mungu wetu anawapenda sana watu waovu kuliko wema.Kwann wanatamba huku ss kila siku tukipata ushuzi wao tu?Why God?
 
Nilifanya jambo la maana sana kuapa kwamba sitafanya kazi serikali ya Tanzania na kuamua kupiga kura kwa miguu yangu.

Pengine upumbavu huu wa uhakiki usioisha na mimi ungenikuta.

Gore Vidal ana kitabu chake kinaitwa "Perpetual War For Perpetual Peace", "Vita Isiyoisha Kupata Amani Isiyoisha".

Sasa kamavita haiishi, hiyo amani isiyoisha itakuja lini?

Kama uhakiki hauishi, huo ufanisi utakaoletwa na uhakiki utakujalini?

516VBSedV4L.jpg
 
Back
Top Bottom