Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali”. Freeman Mbowe.

“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.

Vituo.JPG




Ghost voters.

95376BB7-2818-43CA-9B4A-B0539362DEA2.jpeg
0CC42E01-C228-405B-B567-B2BD3CCB8ECF.jpeg
0F940997-1D34-405F-AB82-A1F414877EFF.jpeg

 
Magufuli ni mvurugaji manipulator mzoefu wa uchaguzi toka enzi akiwa mbunge huko biharamulo na badae chato.

Hii tabia kwake ni kama aliyekula nyama ya binadamu. Sidhani kama ataiacha.

Mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Subirini badi mtaendelea kuona uhuni mwingi uchaguzi huu.
 
Nadhani kidd2014 anawapoteza, Ndio anaye waambia hayo Mambo ilimradi waharibu Uchaguzi
Kwa hivyo ndiye anayewaambia na wasimamizi wafanye figusi za kuwaapisha mawakala? Ndiye aliwaambia NEC kuengua wagombea wa upinzani wa udiwani na ubunge?

Ukiunganisha vituko vya NEC utaelewa kuwa ni mkakati uliosukwa ili bwana dik uchwara aonekane ameshinda kwa kishindo, na hatimaye aje atawazwe mfalme. Tz inaelekea kubaya sana - si kesho lakini keshokutwa
 
Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Magufuli ni mvurugaji manipulator mzoefu wa uchaguzi toka enzi akiwa mbunge huko biharamulo na badae chato.
Hii tabia kwake ni kama aliyekula nyama ya binadamu. Sidhani kama ataiacha.

Mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Subirini badi mtaendelea kuona uhuni mwingi uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom