Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,083
- 6,921
Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).
Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mkuu wa Magogoni kutokana na mapungufu yake, tunaambiwa ni wanachadema wote.
Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?
Huyu mkuu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.
Members kama Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.
Hali imekuwa mbaya tangu huyu alipoteuliwa kuwa mtu ambaye hajaribiwi.
Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.