Uchaguzi 2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
54,689
2,000
Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu.

Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa?

Freeman Mbowe wa CHADEMA naye anasema Tundu Lissu akiwa Rais yeye atakuwa Waziri Mkuu.

Huyu Mbowe hajui kuwa Waziri Mkuu huthibitishwa Bungeni? Yaani bunge la CCM limthibitishe Mbowe kuwa PM?

Niishie hapo wapinzani wana ufinyu wa fikra.

Maendeleo hayana vyama!
 

loboto

Member
Oct 21, 2020
12
45
NDIO MAANA HATA WALE WANACHAMA WAO MIMI HUWAGA MUDA MWINGINE NAWAPUNGUZA KIDOGO. WANASHINDWA KUHOJI KILA KAULI AMBAZO WANAZITOA WAGOMBEA AU VIONGOZI WAO ZINAKANGANYA.

WAKIFANYA HIVYO HAWATOKAA WAKAKUBALI KUWAUNGA MKONO HATA SIKU MOJA.
KWANGU MAGUFULI NI NAMBA MOJA
 

mhanila1

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
1,038
2,000
Ni lini bunge limewahi kukataa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais nitajie bunge lipi na lini, acha kuongea huo upotolo bwana
 

mhanila1

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
1,038
2,000
NDIO MAANA HATA WALE WANACHAMA WAO MIMI HUWAGA MUDA MWINGINE NAWAPUNGUZA KIDOGO. WANASHINDWA KUHOJI KILA KAULI AMBAZO WANAZITOA WAGOMBEA AU VIONGOZI WAO ZINAKANGANYA.

WAKIFANYA HIVYO HAWATOKAA WAKAKUBALI KUWAUNGA MKONO HATA SIKU MOJA.
KWANGU MAGUFULI NI NAMBA MOJA

Na wewe mbona hujahoji mgombea wenu aliposema hakutengeneza barabara ya bunda sababu walichagua mbunge wa upinzani, kwanini usimuulize kama kuchagua mbunge wa upinzani ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba yetu
 

diranqhe

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,681
2,000
Ni lini bunge limewahi kukataa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais nitajie bunge lipi na lini, acha kuongea huo upotolo bwana
Hakuna bunge lililowahi kumkataa aliyependekezwa na rais.. ila kumbuka mara zote huwa Raid ni mwenyekiti wa CCM na hao wabunge wanaompitisha wengi wao ni wanachama wa CCM. Kwahiyo kama Lissu atakuwa rais kutatokea ugumu jina alilopendekeza kupitishwa na bunge ambalo wengi ni CCM
 

gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,776
2,000
Hakuna bunge lililowahi kumkataa aliyependekezwa na rais.. ila kumbuka mara zote huwa Raid ni mwenyekiti wa CCM na hao wabunge wanaompitisha wengi wao ni wanachama wa CCM. Kwahiyo kama Lissu atakuwa rais kutatokea ugumu jina alilopendekeza kupitishwa na bunge ambalo wengi ni CCM
We ni nani aliye kwambia ccm watakuwa wengi bungeni?
 

loboto

Member
Oct 21, 2020
12
45
Na wewe mbona hujahoji mgombea wenu aliposema hakutengeneza barabara ya bunda sababu walichagua mbunge wa upinzani, kwanini usimuulize kama kuchagua mbunge wa upinzani ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba

ULIMSIKILIZA NASSAR ILE SIKU MH RAIS ALIVYOKUA ARUMERU ALIONGEA NINI? KITU ANACHOMAANISHA RAIS AKIONGEA KAULI KAMA HIYO JIBU NI LILE KWA KUWA WAPINZANI WANAAMBIANA HAKUNA KUOMBA WALA KUPITISHA BAJETI ZA MAENDELEO. SASA KAMA JIMBO LAKO LINA WAPINZANI KWA MAKUBALIANO HAYO UNADHANI MNAWEZA PATA MAENDELEO?

TUMUACHE NASSAR TWENDE KWA NAIBU MEYA WA ILALA AMBAE ALIKUA UPINZANI LAKINI BAADAE AKAHAMA, AKIWA KWENYE KAMPENI ALIOMBA MSAMAHA SANA KWA RAIS KWA KUKWAMISHA MIRADI MINGI YA MAENDELEO.

UKIFANYA HIVYO UNAWAKOMOA WANANCHI WAKO NI BORA #MAGUFULI AFANYE KAZI NA WATU AMBAO WATAKUA WANAJUA KUPELEKA HOJA ZA KUOMBA MIRADI MBALIMBALI NA SI WALE WANAKWAMISHA.
#CHAGUAMAGUFULI
#CHAGUAMAGUFULI
#CHAGUAMAGUFULI
#CHAGUAMAGUFULI
#CHAGUAMAGUFULI
#CHAGUAMAGUFULI
 

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
2,506
2,000
Mtu kama Mbowe, anauchu wa madaraka Sana.Lissu akiwa Rais anaweza hata kumpindua.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,734
2,000
... (kwa sheria/Katiba ya sasa) Rais ana mamlaka ya kulivunja Bunge endapo litagomea hoja iliyowasilishwa na Rais/serikali bwasheee! Tena hapo hao wabunge (wa CCM) watakuwa wamempa Rais Tundu Lissu sababu ya bure kabisa ya kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi mkuu; kitakachotokea hata mtoto mdogo anakijua. Wasithubutu kufanya hivyo itakula kwao mazima na CCM itakuwa imefutika rasmi.
 

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,174
2,000
Kama mbowe ameishawahi cheo cha uwaziri mkuu basi tutegemee hata mademu zake kuukwaa ukuu wa mkoa na wilaya
 

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,236
2,000
Mbowe hakuwa sahihi kuongea hicho alichoongea. Ingekuwa vyema sana kama angeendelea kuificha dhamira yake.

Harafu Waziri mkuu huwa hapatikani ndani ya masaa 72 baada ya kura kupigwa
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
2,523
2,000
Fikra zako ndo finyu, siyo bunge lilopita, mdudugay, Lissu akiwa Rais, majority ya wabunge watakua wa CHADEMA!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom