Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Taifa: Tumekuwa wakali kipindi hiki kutokana na aina ya Wagombea waliopo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
"Sisi tumekuwa wakali kutokana na aina ya wagombea tulionao kwa sasa, ndiyo wamesababisha watu waone mbona adhabu zimekuwa nyingi na kamati imekuwa kali hivi" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Emmanuel Kawishe

"Vyama vya siasa ni vile vile, adhabu ni zile zile tofauti ni wagombea, unakuta Mgombea anakiuka maadili halafu anakimbilia kwenye vyombo vya habari" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Emmanuel Kawishe

"Mtu kulalamika siyo lazima awe ametendewa vibaya, inawezekana kile alichotaka yeye hakijafanyika hivyo akalalamika na kuna mwingine kulalamika ni asili yake hata umfanyie nini" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Emmanuel Kawishe

"Dira yetu sisi inalenga kuratibu na kuendesha chaguzi ambazo zinazingatia katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria za uchaguzi na uchaguzi ambao ni shirikishi, uchaguzi wa uwazi zaidi" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Emmanuel Kawishe
 
Kichwa tahira kabisa sijui kule mzumbe university ulielimika au ndo ulikuwa mzee wa kijiji. Unahisi unapofanya press comf. zako umma unakuonaje zaidi ya ukilaza. unatumika kumlinda huyo wa chato au si ndo kazi unayojisikia nayo. Hivi unajidaigi mpenda dinii mbona ni mnafiki hivyo wee jamaa.
 
Pumbavu. Kuna aliyekosa maadili zaidi ya Magufuli? Mbona hamkumchukulia hatua yeyote. Tume yenye Watu wajinga kabisa hii.
 
Yule aliyesema wagombea wenzake sio halali pale Chemba wamemkemeaje?
Tume inapelekewa malalamiko na waathirika, wanaangalia ushahidi uliowasilishwa na wanachukua hatua. Pelekeni atafungiwa kufanya kampeni siku saba😂😂
 
Back
Top Bottom