Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995



Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...

Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi kubwa zaidi ya kuuelekeza upinzani kuelekea 2025. Hadi hivi sasa hajajaribiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani, anaenda kujaribiwa sasa
 
Siku hizi vishairi shairi, kukesha milimani ukijifanya mlokole, stori za shigongo na viforum uchwara umeachana navyo. Ni mwendo wa Magu magu magu huku ukiyumbua mali zilizojaa damu za watu na dhulma.

Kweli Njàaaaaaaaaa, acha iitwe Njaaaaaaaaa
 
Nimekuelewa bwashee mzee mwanakijiji

Hadi sasa mzee Mtei hajasema lolote kuhusu Tundu Lisu..... Ni wazi anajua kinachofuata ni shinikizo la makamanda kumtaka TAL kama kiongozi wao mkuu baada ya kufeli urais!
 
Nyie wewesekeni tu. Jpm kesho out! Watu hawamtaki ndo Mana lisu anafanyiwa kila aina ya figisu ikiwemo hata kutopewa airtime ya radio ya tv zote lakini bado watu wanamtafuta na kumfata Kama nyuki.

Mwingira aliwaambia kwamba you cannot fight a Victor who has survived 32 bullets!!
 

R.I.P. Ndugu zetu huko Zanzibar ,hakika Mungu atawa hesabia Haki zenu mlizo nyang'anywa na wasio na Utu kwa kisingizio cha kuua Watu ili kuleta Amani.

Haki imekuwa ni Msamiati mpya kwa Serikali ya CCM.
 
Nyie wewesekeni tu. Jpm kesho out! Watu hawamtaki ndo Mana lisu anafanyiwa kila aina ya figisu ikiwemo hata kutopewa airtime ya radio ya tv zote lakini bado watu wanamtafuta na kumfata Kama nyuki.

Mwingira aliwaambia kwamba you cannot fight a Victor who has survived 32 bullets!!
Asee Watu wanaomkubali JPM ambao hawana kelele ni wengi sana, Wakina MAMA ndio usiseme Ni JPM 2020.
Ni ujinga kujadili kushindwa kwa JPM, Kinachopaswa kujadiliwa ni Ushindi wa % ngapi .
 
Tunajua hiyo 80% ndio kiwango mlicho jipa ili tu muonekane mnakubali wakti ukweli ni kuwa hakubaliki hata ndani ya IKULU, kura zikipigwa atoboi, kwao chato kwenyewe afiki 50% kama kura ni za haki.
 
Kila mwenye ufahamu anaamini hili. Asante sana Mwanakijiji kwa uchambuzi makini na sahihi na uliokuja kwa wakati.
 
Magufuli atashinda kwa asilimia kuanzia 83, kwa ufupi uchaguzi huu umekuwa mwepesi kwa CCM kuliko chaguzi zote. Nashangaa nguvu nyingi wanazotumia CCM uchaguzi huu wakati ushindi kwao ni wazi (ukitoa Zanzibar).

Nasikitika tu kwa uelekeo wa wabunge wengi wa upinzani kutorudi bungeni. Tunaenda kuwa na bunge litalotawaliwa na CCM kama miaka kabla ya 2010.
 
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi
 
Back
Top Bottom