Uchaguzi 2020 Mabadiliko katika kujumlisha kura za Wabunge na Rais 2020

Kama ndivyo basi mwaka huu hakuna uchaguzi bali ni uchafuzi. CCM wamejiandaa kushinda kwa nguvu kwa maslahi yao binafsi maniiina zao!
Inaonekana 2020 ndio mwaka wako wa kwanza kupiga kura, huo ndio utaratibu wa siku zote hakuna jpya hapo!
 
Ni kweli anachokisema, mimi nimesimamia uchaguzi 2015, baada ya kura kupigwa , katani ziliunganishwa kura za udiwani pekee, but za Rais na wabunge zilipelekwa makao makuu ya wilaya ambako zilijumuishwa na matokeo kutangazwa

Zikijumlishwa kwenye KATA kisha zikapelekwa kwenye JIMBO kuna SHIDA GANI?

HAPO MASHAKA YA WIZI WA KURA NA KUONGEZA VITUO VYA KUPIGIA KURA YANAONGEZEKA.
 
Mtoa mada amesema huo utaratibu umeanza mwaka huu, so nilikua nampinga kuwa utaratibu ni wa siku nyingi si mwaka huu tu

Kuhusu kujumlishiwa wapi mimi sifahamu hayo, CHADEMA walitakiwa wahoji mapema maana ni kitu kinafahamika kuliko kuanza kutengeneza taharuki muda wa mwishoni.
 
Kikubwa na hatari kilicholetwa uchaguzi 2020 ni kuwa msimamizi halazimiki kuwapa mawakala nakala za matokeo kama ilivyokuwa chaguzi za nyuma.

Hivyo ushahidi wa matokeo mawakala watakuwa hawana
 
Ni kweli anachokisema, mimi nimesimamia uchaguzi 2015, baada ya kura kupigwa , katani ziliunganishwa kura za udiwani pekee, but za Rais na wabunge zilipelekwa makao makuu ya wilaya ambako zilijumuishwa na matokeo kutangazwa
Kwann tunatumia huo utaratibu? Kwann zisitangazwe kwenye kituo husika?
 
Ni kweli anachokisema, mimi nimesimamia uchaguzi 2015, baada ya kura kupigwa , katani ziliunganishwa kura za udiwani pekee, but za Rais na wabunge zilipelekwa makao makuu ya wilaya ambako zilijumuishwa na matokeo kutangazwa

Shida hawa chadema wanafikiri watu wote wanasubiri kufundishwa na Lissu na hawajishughulishi kama wao hahahaha
 
Back
Top Bottom