Uchaguzi 2020 Oktoba 28 ni Dkt. Magufuli tu ndio chaguo la Watanzania

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
647
304
October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana Mageuzi ya kweli.

Tunajua nchi za Magharibi hawapendi Juhudi za mwamba JPM kuipeleka nchi katika Maendeleo ya kiuchumi, yatakaifanya Tanzania isimame Kwa miguu miwili bila kupiga magoti Kwa Taifa lolote.

Wanatamani watanzania wafanye makosa wachague mtu ambae wamemuweka mfukoni, ili tusijikomboe kiuchumi.

Watanzania wanajua Maendeleo ya kweli na Uhuru wa kweli Utaletwa na Mwamba JPM, ili kazi iendeleee.

Hasibaki mtu nyumbani October 28, tukachague miaka mingine ya kazi na Maendeleo

Timeona nchi nyingi Afrika waliochagua vyama vya upinzani walishaingia madarakani wanabadalisha katiba waendelee kubaki ,rejea Cote d'Ivoire , Guinea ya ikweta, Senegal, viongozi wanaotokea upinzani wakiingia hawataki kutoka.

Niwaombe Watanzania wasipige kura kwa hasira. Tuna Tanzania moja tu, Amani yetu Tuilinde, ni tunu. Tusikubali mtu atufarakanishe wakati hatuna nchi Nyingine.

Watanzania wengi hawana hati za kusafiria kama wale wanaotaka tuwe na chuki katika Taifa letu.

Tuchague mtu wa kazi, Dr Magufuli ameitunza Amani yetu Kwa miaka mitano, kila mtu shahidi.

Amani ndio utajiri wetu, hakuna mbadala wa Amani.

CCM imeitunza Amani ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru

CHAGUA CCM, CHAGUA MAGUFULI
 
Wewe nani amchague huyo, mtegemea wanamuziki, ameishiwa yaani kama Yesu na Mohamed wangekuwa wanasimamia uchaguzi huu Magu kura milion mbili hafikishi kwa jins wWnatanzania walivo mchoka.
 
Hakuna namna mtanzania anayejua nini maana ya maendeleo akachagua mtu mwingine zaidi ya Magufuli. Ametufanyia makubwa watanzania na tumeamua kwa mamilioni yetu tunampa kura zetu kwa wingi utakaoshangaza dunia.
 
October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana Mageuzi ya kweli.

Tunajua nchi za Magharibi hawapendi Juhudi za mwamba JPM kuipeleka nchi katika Maendeleo ya kiuchumi, yatakaifanya Tanzania isimame Kwa miguu miwili bila kupiga magoti Kwa Taifa lolote.

Wanatamani watanzania wafanye makosa wachague mtu ambae wamemuweka mfukoni, ili tusijikomboe kiuchumi.

Watanzania wanajua Maendeleo ya kweli na Uhuru wa kweli Utaletwa na Mwamba JPM, ili kazi iendeleee.

Hasibaki mtu nyumbani October 28, tukachague miaka mingine ya kazi na Maendeleo

Timeona nchi nyingi Afrika waliochagua vyama vya upinzani walishaingia madarakani wanabadalisha katiba waendelee kubaki ,rejea Cote d'Ivoire , Guinea ya ikweta, Senegal, viongozi wanaotokea upinzani wakiingia hawataki kutoka.

Niwaombe Watanzania wasipige kura kwa hasira. Tuna Tanzania moja tu, Amani yetu Tuilinde, ni tunu. Tusikubali mtu atufarakanishe wakati hatuna nchi Nyingine.

Watanzania wengi hawana hati za kusafiria kama wale wanaotaka tuwe na chuki katika Taifa letu.

Tuchague mtu wa kazi, Dr Magufuli ameitunza Amani yetu Kwa miaka mitano, kila mtu shahidi.

Amani ndio utajiri wetu, hakuna mbadala wa Amani.

CCM imeitunza Amani ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru

CHAGUA CCM, CHAGUA MAGUFULI
Magufuli ameharibu nchi yetu kwa ubaguzi, udini na udikteta, hafai kabisa.
 
Naunga mkono hoja, JPM and CCM is the one and only, October 28, ni Magufuli, ni CCM, na Jimbo langu la Kawe ni GwajiBoy!.
P
 
Muuaji na mtekaji
 
Back
Top Bottom