Wapinzani acheni usanii

Mshindaji

Member
Oct 28, 2020
38
91
Imefika wakati Vyama vya Upinzani ni lazima waheshimu watanzania. Vitendo vinavyo endelea katika uchaguzi huu vinaonesha namna wapinzani wanavyo dharau wananchi.

Jimbo la Kawe na Kigoma wameandaa karatasi fake za kupigia kura wakatiki kwa wagombea wa CCM then wakajikamata wenyewe ili kupotosha umma.

Sasa tunawaambia hivi, mwaka huu tumepiga kura ya kuwaweka benchi mpaka mtakapo pata akili. Tumechagua maendeleo ya nchi yetu, ninyi endeleeni na Drama.
 
Back
Top Bottom