Niwaulize maswali haya magumu

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
MASWALI MAGUMU

1. Ukiiba fedha ya umma unaitwa mwizi/fisadi. Ukiiba kura tukuiteje?

2. Ukilazimisha kufanya mapenzi na mtu unaitwa mbakaji, je ukilazimisha kumtawala mtu kinyume na mapenzi take tukuiteje?

3. Ukichaguliwa kupitia Uchaguzi huru na wa HAKI unaitwa kiongozi; Je ukichaguliwa kupitia mizengwe, ubabe na hila tukuiteje?

SI MAONI YANGU, NI WACHORA VIBONZO. SHUKRANI ZIWAENDEE WAO. LAWAMA ZIJE KWA NJIA YA KIBONZO KINGINE.

Askofu Bagonza
 
Attachments

  • 452DC8C3-B05E-4CA4-986F-DC6D647AA5FA.png
    452DC8C3-B05E-4CA4-986F-DC6D647AA5FA.png
    286.2 KB · Views: 1
  • 1287C12A-D21F-41FD-B7CB-93ACDE830126.png
    1287C12A-D21F-41FD-B7CB-93ACDE830126.png
    253.7 KB · Views: 1
MASWALI MAGUMU

1. Ukiiba fedha ya umma unaitwa mwizi/fisadi. Ukiiba kura tukuiteje?

2. Ukilazimisha kufanya mapenzi na mtu unaitwa mbakaji, je ukilazimisha kumtawala mtu kinyume na mapenzi take tukuiteje?

3. Ukichaguliwa kupitia Uchaguzi huru na wa HAKI unaitwa kiongozi; Je ukichaguliwa kupitia mizengwe, ubabe na hila tukuiteje?

SI MAONI YANGU, NI WACHORA VIBONZO. SHUKRANI ZIWAENDEE WAO. LAWAMA ZIJE KWA NJIA YA KIBONZO KINGINE.

Askofu Bagonza
Kutoka wafanyakazi wenye vyeti feki hadi rais aliyeingia kwa kura feki
 
Sad but very true but I hope Tanzanians won’t accept this nonsense of illegitimate president in the State House for another 5 years.

Back
Top Bottom