Uchaguzi 2020 Manyara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.


Mkoa wa Manyara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:-

Babati Mjini: GEKUL PAULINE PHILIPO(CCM) - Amepita bila kupingwa

Babati Vijijini: SILLO DANIEL BARAN(CCM) - Amepita bila kupingwa

Hanang:
Samwel Kadai (CCM)

Kiteto:
Edward OLe Lekaita (CCM) - Kura 48,632
Pastory Kongoke (Chadema) - Kura 12,384

Mbulu Mjini:
Isaay Zacharia Paulo (CCM) - Kura 28,264
Gervas Michael Sule (CHADEMA) - Kura 11,630

Mbulu Vijijini:
Flatei Gregory Massay (CCM) - Kura 46,737
Amani Nanagi (CHADEMA) - Kura 5,895

Simanjiro:
Christopher Ole Sendeka (CCM) - Kura 54,609.
Emmanuel Landey (CHADEMA) - Kura 8,782.

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Back
Top Bottom