Uchaguzi 2020 Wako wapi Makada kindaki ndaki wa CCM?

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
9,170
2,000
Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.

Iziraeli atupishilie mbali.

Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.

Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.

Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.

Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?

Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.

Amani na ikawe na kila mpenda haki.

Tunayo siku ndefu leo inshallah.
 
pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,182
2,000
We ujui chochote
Screenshot_20201026-102710.jpg
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,880
2,000
Niko kituoni na washirika wenzangu

Tunataka haki na amani hapa itatamalaki tu.

Sala zetu kote haki na ikatendeke

mshindi na akatangazwe mshindi.

Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
 
komanyahenry

JF-Expert Member
Sep 15, 2017
824
1,000

Mzee Pascal Mayalla kwa dalili za awali ya yote yanayoendelea unaona kuna uwezekano wa mpinzani kushinda na kutangazwa?
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,736
2,000
Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.

Iziraeli atupishilie mbali.

Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.

Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.

Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.

Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?

Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.

Amani na ikawe na kila mpenda haki.

Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Amina na Mungu atatenda haki.
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
674
500

Unadhani CCM wapo mtandaoni kwa sasa? Wapo vituoni kupiga kura. JPM. Arudi.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,736
2,000
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
Pascal bwana. Ninamjua waziri ktk serikali ya Jpm Kaka yake ana kansa, mdogo wake ana stroke, mama yake ana ugonjwa wa figo, moja ya watoto wake ana autism.

Hii ndio inaitwa laana. Yaani huwa namuona anavyojikakamua huko serikalini unaona kabisa furaha aliyonayo ni ya kulazimisha. Na mwaka huu wajumbe wamemtema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom