Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi.

Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa na hali ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua na zaidi kwa kutozingatia onyo alilotoa kigogo siku kadhaa zilizopita kuwa wawalinde mawakala.

Kama kweli zile comments ambazo ni karibu zote zinamshambulia ni za wafuasi wa CHADEMA ,basi ni wazi watu sasa wanataka action na si malalamiko tena na hili linspaswa kuwa ni agenda kwa viongozi wa upinzani nchini.

Tweet ya Heche iliyofanya ashambuliwe ni hii:

Usiku huu nyumba nyingi za mawakala wetu zimevamiwa, wengi wamekamatwa wako vituo mbalimbali vya polisi-John Heche
 
mkuu mimi anaenikera ni mbowe, namwona kama mpumbavu hivi, yani sabaya ndo wakumsumbua kweli?

hivi kama hawataki kuchukua hatua kwanini basi watumtulize mazima huyo dogo?

SasaBasiiii nilidhan tafsiri yake ni mwisho kulalamika, its either wakae kimya au twende kwa option ya umma...... No more
 
Kiukweli heche kachemsha, unawaruhusu mawakala wakalale kwao, duh...walishauriwa mapema uchaguzi ni vita.Kwani wasingeenda majumbani kwao siku mbili kungekuwa na shida gani?
 
mkuu mimi anaenikera ni mbowe, namwona kama mpumbavu hivi, yani sabaya ndo wakumsumbua kweli?

hivi kama hawataki kuchukua hatua kwanini basi watumtulize mazima huyo dogo?

SasaBasiiii nilidhan tafsiri yake ni mwisho kulalamika, its either wakae kimya au twende kwa option ya umma...... No more
Kwa udhaifu anaoonesha Mbowe kila Mara ni bora Lissu awe Uenyekiti Wa Chama tu.

Wanalalamika sana bila action.
 
mkuu mimi anaenikera ni mbowe, namwona kama mpumbavu hivi, yani sabaya ndo wakumsumbua kweli?

hivi kama hawataki kuchukua hatua kwanini basi watumtulize mazima huyo dogo?

SasaBasiiii nilidhan tafsiri yake ni mwisho kulalamika, its either wakae kimya au twende kwa option ya umma...... No more
Nyie ndo mlokuwa mnalitetea hili lijambazi limbowe.
Naipenda CHADEMA but Mbowe alipaswa apishe watu wengine wenye akili waongoze chama.
Anaongoza chama kimazoea sana.
 
mkuu mimi anaenikera ni mbowe, namwona kama mpumbavu hivi, yani sabaya ndo wakumsumbua kweli?

hivi kama hawataki kuchukua hatua kwanini basi watumtulize mazima huyo dogo?

SasaBasiiii nilidhan tafsiri yake ni mwisho kulalamika, its either wakae kimya au twende kwa option ya umma...... No more
kumtuliza mazima unamaanisha wamuue?
 
Mwisho wa ma keyboard warriors umewadia.......viongozi wanalia kwenye keyboard...wafuasi nao wanalia kwenye keyboard hamna hata mmoja anaetaka kuingia mtaani.......labda watoe rais wa mitandaoni ila rais wa huku uraiani ni ndoto kabisa kwa ma keyboard warriors
Nyie mnasema kipumbavu bila kujua kuwa huo ni uvumilivu na utakapo fika mwisho hamtawalaumu tena kwa kuchukua hatua.
Imagine fujo zikianza na mijini vituo vya mafuta vikichomwa, ofisi za umma, Polisi nk jee athari zake zitakuwaje?
Tusiwalaumu sana kwa uvumilivu labda tuwalaumu ccm kwa kujiuliza wanataka nini hasa kwa watanzania hawa wapole?
 
Pumbavu fanyeni mliyokua mnasema mtayafanya ........tumechoka kuwabembeleza na safari hii lazima mtie adabu
 
Back
Top Bottom