Uchaguzi 2020 Lindi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,806
11,968
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Kilwa Kaskazini
Francis Ndulane (CCM) - Kura 20,501
Vedasto Ngombale (CUF) - Kura 8,513

Kilwa Kusini -
Ally Kasinge(CCM) - Kura 22,521
Selemani Bungala (Bwege) ACT Wazalendo - Kura 10,096.

Liwale -
Zuberi Kuchauka (CCM)

Lindi Mjini
Hamida Abdallah (CCM) - Kura 16,323
Isihaka Mchinjita (ACT-Wazalendo) - Kura 12,793.

Mchinga
Salma Rashid Kikwete (CCM) - Kura 11,690
Cyprian Mtotomwema (ACT-Wazalendo) - Kura 5,388

Mtama -
Nape Moses Nnauye (CCM) - Amepita bila kupingwa

Nachingwea
Amandus Chingule (CCM) - Kura 36,761
Dkt. Mahadhi Mmoto (CHADEMA) - Kura 27,801

Ruangwa -
Majaliwa Kassim Majaliwa (CCM) - Amepita bila kupingwa

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
KITUKO: Kituo cha Mnazi Mmoja mkoani Lindi, mtu mmoja amekimbia na sanduku la kura za udiwani.

Inadaiwa alikwenda na pikipiki akiwa na mwenzake na kupiga kura kama kawaida mara baada ya kutumbukiza kura yake alibeba sanduku la kura na kutokomea nalo akiwa na pikipiki.

KITUKO: Kituo cha Mnazi Mmoja mkoani Lindi, mtu mmoja amekimbia na sanduku la kura za udiwani.

Inadaiwa alikwenda na pikipiki akiwa na mwenzake na kupiga kura kama kawaida mara baada ya kutumbukiza kura yake alibeba sanduku la kura na kutokomea nalo akiwa na pikipiki
hiyo kali aisee
 
Lindi wameamua kumpa kura nyingi sana JPM...kazi nzuri sana Lindi.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Haya sasa na hili ni gazeti la serikali(HabariLeo on twitter)

KITUKO: Kituo cha Mnazi Mmoja mkoani Lindi, mtu mmoja amekimbia na sanduku la kura za udiwani.

Inadaiwa alikwenda na pikipiki akiwa na mwenzake na kupiga kura kama kawaida mara baada ya kutumbukiza kura yake alibeba sanduku la kura na kutokomea nalo akiwa na pikipiki https://t.co/OKlRVu0N3S
 
KITUKO: Kituo cha Mnazi Mmoja mkoani Lindi, mtu mmoja amekimbia na sanduku la kura za udiwani.

Inadaiwa alikwenda na pikipiki akiwa na mwenzake na kupiga kura kama kawaida mara baada ya kutumbukiza kura yake alibeba sanduku la kura na kutokomea nalo akiwa na pikipiki
Si anajulikana.Maana namba yake ya kitambulisho Cha mpiga kura imeandikwa kwenye kibutu
 
Back
Top Bottom