Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu wadau! Niende kwenye mada moja kwa moja... Inasemekana kuwa Chadema ni moja ya Chama ambacho kilipoanzishwa kiliogopewa sana hata na hayati mwalimu Nyerere. Kuogopwa huku kulitokana...
6 Reactions
208 Replies
14K Views
Salaam wakuu, Kila mtu anajua hali ya Kimtandao Watanzania tunayopitia. Hivyo kama kuna mtu anapata tatizo kuingia JamiiForums, mpe hii link ili aungane nasi. Asanteni JamiiForums.live...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Katika makosa watayofanya wapinzani awamu hii ni kushiriki uchaguzi mkuu huu bila kujitathimini na kuweka mambo sawa yafuatayo 1. Je, bado wanakubalika na wananchi? 2. Je, wananchi bado wana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Declaring interest...mimi ni mfuasi kindakindaki wa Rais Magufuli kuanzia 2015! Natamka hadharani kuwa hadi sasa hajatokea mwanasiasa muadilifu anayeweza kuyumbisha juhudi,maamuzi ,mienendo...
19 Reactions
167 Replies
11K Views
Nchi za wenzetu eg.kenya na nigeria ujinga ujinga wa kudhulumiana kura umeshapitwa na wakati,just imagine maajabu ya Zanzibar mwenyekiti kapewa agizo na bosi wake afute uchaguzi. Tutumie njia...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9) Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja...
21 Reactions
265 Replies
38K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema kuna majimbo manne ambayo uchaguzi wa madiwani haujafanyika. Majimbo matatu Wagombea wamefariki na jimbo moja la...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma. Amewataka wananchi...
1 Reactions
70 Replies
5K Views
Kuna vitu vinajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi ambavyo vinapaswa kuulizwa je nikweli wananchi wa Tanzania ndio wasemaji wa mwisho wa masuala ya nchi hii? au kuna watu kwa aakili zao na utashi...
30 Reactions
266 Replies
23K Views
MDOGO WANGU KANIAMBIA AMENIDHARAU KWA KUSEMA SITAMCHAGUA TUNDU LISU. Na, Robert Heriel Unajua mpaka siamini kabisa kwamba mdogo wangu wa kuzaliwa anaweza nambia maneno makali kama yale. Nina...
16 Reactions
68 Replies
7K Views
Ni muhimu Sana wakati huu kuwa makini na taharuki au hamaki. Madai ya uwepo wa "kura feki" hata Kama yanatolewa na watu makini na wenye akili ni lazima yachukuliwe kwa uzito unaostahili. Hata...
12 Reactions
167 Replies
10K Views
Hakuna uchaguzi wa huru na haki uliofanyika Leo. Hata ya mawakala ni ushahidi tosha kuwa uchaguzi batili. Nini kifanyike? Hili ndilo la msingi. Mahakama msiutegemee maana ni CCM! Nguvu ya umma...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida...
156 Reactions
375 Replies
41K Views
Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao. Sijamsikia tena tokea siku hiyo. Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au? Na sijaona wala sijasikia popote...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
CHADEMA nimeona mnalalamikia suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni. Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimetafakari na kujiuliza sana jambo hili , huyu mtu tuliyeaminishwa kwamba ni msaliti wa Taifa , akashambuliwa kinyama na kutelekezwa ili akafie mbali , kama haitoshi akavuliwa ubunge bila...
119 Reactions
370 Replies
37K Views
Leo ni siku muhimu sana kwetu Tanzania. Tunapata fursa nyengine muhimu ya kukubaliana na watawala, tunahitaji nini kwa miaka mitano ijayo. Uchaguzi ni vita ya maneno, sera, hoja na mikakati ya...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…