Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara. Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa...
19 Reactions
105 Replies
8K Views
Nusura ya vifungo Nusura ya kifo Nusura ya kurejea ngamani Nusura ya kukamatwa Nusura ya kuteuliwa kugombea Nusura ya kupitishwa na tume Nusura ya kufanya kampeni Nusura ya kuruka na chopa Bado...
55 Reactions
143 Replies
12K Views
Nani alipinduliwa 1964? Ni Mfalme ni Uhuru wa Zanzibar ni kitu gani haswa? Waathirika wengi wa mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni waZanzibari na sio Mfalme, kauli za leo kwa walio wengi zinasema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia) USULI Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha...
32 Reactions
383 Replies
33K Views
Rais wa zamani Silvestre Ntibantunganya ambaye ndiye Mwenyekiti wa ujumbe wa waangalizi kutoka Afrika Mashariki, amesema kuwa uchaguzi mkuu Tanzania ulifanyika kwa kufuata taratibu. Ujumbe wa...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Hapa Tanzania wapinzan wa kweli waliokuwa na nguvu ni CHADEMA, hawa wengine ni bendela fata upepo tu. Namuona mh JPM akifanikiwa kwa asilimia 90 kuua upinzani, huku akichukua miaka mingine mitano...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana...
109 Reactions
358 Replies
39K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Niliahidi kuwa nitarejea JF baada ya uchaguzi Tuonane baada ya uchaguzi Oktoba 28 kwenda viwanjani, maofisini, vijiweni, mashuleni, vijijini, nyumba za ibada, nikisafiri kwa usafiri wa jamii...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka. Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna...
29 Reactions
250 Replies
21K Views
Nikiwa mwanaCCM kindakindaki nimepokea kwa furaha lakini kwa tahadhari kubwa haya matokeo ya Uchaguzi mkuu uliofanyika 28 Oktoba 2020. FURAHA Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kilijikita kwenye kunadi...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Wanabodi, Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya...
28 Reactions
327 Replies
63K Views
Nguzo za Nchi bye bye Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Huu ni uzi kuhusu kitu kinachoitwa "trend Reading" kwa jina la Kiswahili ni "kusoma mielekeo". Katika uzi huu, nazungumzia mielekeo ya Kisiwa cha Pemba, kilichokuwa ngome kuu ya CUF...
7 Reactions
63 Replies
11K Views
Ndugu Zitto, Lissu, Mbowe na Wapinzani wengine mnapoteza muda kupigana Vita, kwa kisingizio kuwa mnapigania haki kwa ajili ya Watanzania. Watanzania hawana muda na nyie kama hamjui ndio maana...
18 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais...
136 Reactions
396 Replies
58K Views
Wanabodi, Hii ni thread ya swali kuhusu hili Jarida la Economics, Jee Tunaliogopa Jarida Hili?, kila likiandika kuhusu Tanzania, ni kuangazia mabaya tuu, inamaana kwenye Tanzania yetu, hakuna...
35 Reactions
321 Replies
40K Views
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu, Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe, Lakin Tuwe wawazi muda...
16 Reactions
80 Replies
8K Views
Mavunde wa Dodoma mjini akifukuzwa na wananchi mara baada ya kuiba kura na kutangazwa mshindi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge. Najiuliza: ¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake? ² Je...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…