Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Halima Mdee kwa nafasi yake kama mwenyekiti wa BAWACHA ndio Mbunge wa Viti Maalumu namba moja kama CHADEMA itapata sifa ya kuwa na wabunge hao. Ngoja niangalie jumla ya kura na uwiano wake nione...
8 Reactions
149 Replies
15K Views
Wakuu salute! Jioni ya leo nikiwa maeneo ya Tegeta namanga Dsm, nilipitia pub moja at least kupoza koo kwa 'kabia kamoja' kupoza machungu ya utafutaji. Si unajua ukiumbwa mwanaume... Kumekuwepo...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Blessed is thyloard our CREATOR Tanzania has so long be in a glorified fight against barbarism and planned colonialism. We have eversince survived the actions of non mercy bandits of humanity our...
19 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake. Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wala haitaji kutumia akili kubwa sana kumjua mchoraji mahili na mchoraji asie mahili. Kama utakuwa ni mtu mwenye fikra pana na uonaji sahihi hakika utaona mchoro wake UMEPINDA! Anataka aonekane...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Dear sir/Madam I would like to take this opportunity to write to you, I hope this letter will find you wherever you are. I am a Tanzanian, a humanitarian, and above all a global citizen who...
18 Reactions
33 Replies
5K Views
WOTE HAWAAMINI... Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe Waliopiga kura hawaamini, Waliogoma kupiga kura hawaamini, "Walioshinda" hawaamini, "Walioshindwa" hawaamini, Walioshuhudia...
70 Reactions
80 Replies
10K Views
Wana JF, Kuna watu wanafikiri Rais ni mtu mfano John Pombe Magufuli. Wamesahau Rais ni taasisi kubwa inayofanya mambo kwa kanuni, Sheria na taratibu. Janga la corona ni Janga na tatizo kama...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Wako Watanzania wasiojua uhalisia Tanzania kama nchi inaelekea kuwa na watu milioni 50. Kati ya hao, walipa kodi hawafiki hata milioni tatu, yaani kundi la watu milioni tatu ndilo linaendesha...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya, watu tuamini kuwa Ufipa pale wengi ni akili kuambiwa. Chama cha CHADEMA toka kimeanzishwa na ukubwa wake wote Ila jengo lao la makao makuu linashindwa thamani...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wewe Mtanzania kesho ndio siku maalumu uliyongojea miaka 5. Hakuna siku nyingine uliyopewa zaidi ya kesho ya kuchagua kuumizwa tena 5 au kutoumizwa tena. Itendee haki nafsi yako kesho ni siku...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
19 Reactions
153 Replies
15K Views
Makala murua kabisa ya kaka mkubwa Jenerali Ulimwengu gazeti la The East African: Soma hapa chini kama unaelewa kiingereza - ila kama ni akina Msukuma wanaosema Reli ya "Stieglers Gorge"...
36 Reactions
74 Replies
18K Views
Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka...
16 Reactions
57 Replies
4K Views
Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu! Na:KAWAWA 1. Elimu Bure 2. Barabara 3. Madaraja 4. Meli 5. Uchumi 6. Afya 7. Ndege 8. Viwanja vya Ndege 9. Maji 10...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanabodi,Mambo ya "SHIKWAMBI" .Ahaaa aaaaa unaweza kucheka lakini huu ndio uhalisia tutashinda kwa mbinu Kabla ya mpira kuanza na filimbi kupigwa ili mpira uanze katikati ya uwanja tayari chadema...
17 Reactions
81 Replies
9K Views
Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao. Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau wa JF, nawasalimuni nyote. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni...
2 Reactions
112 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…