Hivi kwanini CHADEMA hawahojiwi kwanini hawana hata ofisi ya maana japo wanajua kuna hela za ruzuku na michango ya Wabunge?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,261
2,000
Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya, watu tuamini kuwa Ufipa pale wengi ni akili kuambiwa.

Chama cha CHADEMA toka kimeanzishwa na ukubwa wake wote Ila jengo lao la makao makuu linashindwa thamani na jengo la shishi food.

CHADEMA wamekua waumini wa kupiga kelele kuwa nchi toka CCM imeshika madaraka nchi haijaendelea Ila wanasahau kuwa wao ofisi hata ya million mia 3 imewashinda.

CHADEMA badilikeni, ni aibu kushindwa kimaendeleo na Chauma na ACT.
 

Whackiest

Member
Sep 13, 2020
67
125
Hili la ufipa kak utaniiudh sasaiv kama unaelekea huk bwana siasa fanya lakn sio kabila japo mi CCM lakn nikichafuka patachimbk
 

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,261
2,000
Watanzania hatuitaji majengo ya chama sio tunataka chama kiyasemee yale. yanayowahusu wananchi,kazi wanazofanya wabunge wa chadema wakiwa bungeni ni zaidi ya kuwa na hizo office,chadema ina jengwa mioyoni mwa watu hata ofisi ikiwa chini ya mti poa 2
Viatu vya wale watu wanao sema ukilleta wenzako wawili na wao wakaleta wawili utakua bilionea ndio vinafanya Watu tusiwaamin so vip chadema mnapo tuahid kua mtafanya Mambo makubwa Ambayo hamjawai kufanya katika maisha yenu???
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,893
2,000
Kila swali lina wakati wake muafaka vinginevyo utaonekana una horojoka tu.
 

mwanakwetuu

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
215
500
Viatu vya wale watu wanao sema ukilleta wenzako wawili na wao wakaleta wawili utakua bilionea ndio vinafanya Watu tusiwaamin so vip chadema mnapo tuahid kua mtafanya Mambo makubwa Ambayo hamjawai kufanya katika maisha yenu???
Ccm bhn kumbe ndo maana nchi imewashinda miaka 60 toka Uhuru mna puyanga 2, kutoa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana ndo maana mmeshindwa nn?wafanyakazi kupandisha mishahara yao kama sheria inavyosema ni mzigo mzito kama zege kw ccm nn?

kuboresha kilimo ni kazi kubwa,? Kurudisha mzunguko wa pesa kitaa nako ni shida kwenu? Shame on u niga au chadema walikuahidi kukupeleka mwezini?
 

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,261
2,000
Ccm bhn kumbe ndo maana nchi imewashinda miaka 60 toka Uhuru mna puyanga 2, kutoa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana ndo maana mmeshindwa nn?wafanyakazi kupandisha mishahara yao kama sheria inavyosema ni mzigo mzito kama zege kw ccm nn?,kuboresha kilimo ni kazi kubwa,? Kurudisha mzunguko wa pesa kitaa nako ni shida kwenu? Shame on u niga au chadema walikuahidi kukupeleka mwezini?
Jibun ufipa kumewashinda kwa nn?
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,083
2,000
Wakuhoji ndio hawa wanaoshinda mitandaoni na wakihoji watakula wapi? Maana hiyo ruzuku ndio wanagawiwa kidogo wakubwa akina Tundu, Mbowe, Mnyika nk. ndio wanakula ruzuku nzima. Hilo ni Saccos watu wanajipigia tu hakuna anaejali chama
 

mwanakwetuu

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
215
500
Jibun ufipa kumewashinda kwa nn?
Kuwa na office nzuri hakumsaidii mwananchi wa kawaida zaidi ya viongozi,una IQ ndogo sana kama pilitoni na najua tatizo sio lako ccm ili wakutawale wanakunyima elimu ili usijitambue amka ww kizazi chako kitakuja kukulaumu kwa upumbavu wako
 

Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,148
2,000
U
Nani wakuhoji? Wanachama na wafuasi ni misukule,toka lini misukule ikawa na ufahamu,viongozi wako kama mchwa wanatafuna ruzuku/michango/makato ya mishahara ya wabunge chama kinamilikiwa na mtu/mwenyekiti wa kudumu ni saccos yake
Una akili Dada na misikule ndio hivi una mkimbiza mtu mzima mwenye Dola na Kila kitu🤗Misukile itazaa na mtu Mwaka huu!
 

Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,148
2,000
Nani wakuhoji? Wanachama na wafuasi ni misukule,toka lini misukule ikawa na ufahamu,viongozi wako kama mchwa wanatafuna ruzuku/michango/makato ya mishahara ya wabunge chama kinamilikiwa na mtu/mwenyekiti wa kudumu ni saccos yake
Una akili Dada na misikule ndio hivi una mkimbiza mtu mzima mwenye Dola na Kila kitu🤗Misukile itazaa na mtu Mwaka huu
 

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,723
2,000
Watanzania hatuitaji majengo ya chama sio tunataka chama kiyasemee yale. yanayowahusu wananchi,kazi wanazofanya wabunge wa chadema wakiwa bungeni ni zaidi ya kuwa na hizo office,chadema ina jengwa mioyoni mwa watu hata ofisi ikiwa chini ya mti poa 2
Ila mnaruhusu hiki, au?
IMG-20200918-WA0010.jpg
 

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
3,239
2,000
Kwani CCM wana Ofisi?

Zaidi ya kupola Mali za wananchi /majengo na viwanja vya mpira na kuzegeuza Mali zao.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,107
2,000
Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya Watu tuamini kua ufipa Pale wengi ni akili kuambiwa

Chama cha Chadema toka kimeanzishwa na ukubwa Wake wote Ila jengo lao la Makao Makuu linashindwa thaman na jengo la shish food

Chadema wamekua waumin wa kupiga kelele kua nchi toka ccm imeshika madaraka nchi haijaendelea Ila wanasahau kua wao Ofis hata ya million mia 3 imewashinda

Chadema Badiliken ni aibu kushindwa kimaendeleo na Chauma na ACT

Kipindi cha miaka mitano iliyopita, Chadema kwa kupitia hela za ruzuku na michango ya wabunge tu walipata zaidi ya bilioni 23. halafu ukinungansiaha michango yawanchama kupitia ada za uanachama, ufadhili kutoka kwa wanachama, na mauzo ya magwanda, tisheti, na bendera za chama wakaongeza zaidi ya bilioni tatu.

Zaidi ya hapo, wakati wa mikutano ya uchaguzi wamekuwa wanapitisha bakuli la kuomba michango ama moja kwa moja ama kwa kutumia account za simu- hesabu za michango hiyo haijulikani. Lakini zote hizo zinayeyuka wala hazijulikani zinafanya nini la kuonekana kwa manufaa ya chama; ndiyo maana mtu mwenye akili timamu unaweza kujiuliza kuwa hawa jamaa ukiwapa hazina ya taifa wataitumiaje.
 

infinix

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
1,983
2,000
Wewe nani kakuhoji unafanyakazi mwaka wa tano huu unalipwa mshahara mnono na hujajenga kibanda wala choo,kazi kula na kulala kwa shemeji yako tu?
 

mnyoriii

Member
Apr 18, 2020
64
125
Tulikuwa na TAA...
ikaja TANU
ikaja CCM...
Chama kilikuwa kimoja tu
Baadae vikaja vyama vingi
Zile mali tulizochangia tukiwa chama moja hazikugawanywa,
Unategemea nini
DHULMA HAIDUMU,IKIDUMU INA ANGAMIZA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom