Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.

CE4A0645-5CCF-4408-8B25-CC996830A56C.jpeg
2C47C6EB-FDED-46A6-9918-E428DA5B07F0.jpeg
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Misri wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Kukandamiza democrasia ya wananchi kwa kuwashushia majjeshi na vifaru vya kuwaadhibu ndio ufanyaji mzuri wa viongozi huo kwa wananchi wao?? Hebu nenda ukatafute akili ulipoiangusha...
 
Natamani hawa viongozi wetu wa utawala huu pamoja na CCM wakamatwe na "Mahakama Ya Jinai ya Kimataifa (ICC)", halafu wakafungwe magereza yenye "MABASHA NA WASENGE (HOMOSEXUAL) tupu huko The Hague.

Wamchukue na pascal mayala kwa uchochezi wa kiandishi nae, wampeleke huko.

Baada ya miaka 5 tu, waachiliwe warudi nchini, tuone mikono ilivyoregea kama Bobryski.
Nadhani wakitoka huko wote watakuwa wanaumwa BAWASILI
 
Hofu imetamalaki. Nimeangalia taarifa ya Habari Azam TV yaani reporter wao kutoka Zanzibar anaongea kwa hofu na kajifanya hajui alipo Maalim Seif na haelewi kwanini hajahudhuria wakati Rais mteule akipewa cheti!

Yaani hata waliokuwa studio wameshindwa kuchomekea kuhusu taarifa za kukamatwa kwa Maalim Seif!
 
Tafsiri ya tweet no 2.

Kabla ya kura kupigwa, kuligubikwa na vurugu na ukandamizaji. Makosa yaliyoripotiwa wakati wa kura ya jana na kukamatwa leo kwa Viongozi wa Upinzani haikubaliki na inaharibu maendeleo ya Kidemokrasia nchini. Viongozi wa Tanzania lazima WAWAJIBISHWE.
 
Back
Top Bottom