Uchaguzi 2020 Watanzania wameamua...

Lukuiza

Member
Mar 21, 2018
5
9
Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu!
Na:KAWAWA

1. Elimu Bure
2. Barabara
3. Madaraja
4. Meli
5. Uchumi
6. Afya
7. Ndege
8. Viwanja vya Ndege
9. Maji
10. Utatuzi wa kero
11. Upendo kwa wananchi
12. Kutetea haki
13. Kulinda Uhuru wa Wananchi
14. Uzalendo
15. Ulinzi
16. Amani
17. Komesha ya ufisadi
18. Kujali wafanyabiashara
19. Kutunza thamani ya Madini
20. Mleta nidhamu na mfariji kwa wanyonge
21. Umeme vijijini
22. Viwanda
23. Kilimo Bora
24. Utalii
25. Miradi ya Gas
26. Miradi ya Uchimbaji Mafuta
27. Ujenzi Bora wa majengo ya serikali
28. Vivuko vya Majini
29. Uundaji wa Satellite
30. Jeshi imara na madhubuti
31. Uhuru wa habari
32. Kuongeza huduma za utoaji haki Mahakamani
33. Kukuza soko la Ajira
34. Kudumisha mahusiano ya Kimataifa
35. Kumtanguliza Mungu katika yote haya
36. Kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi, kusaidia Mitaji kwa vijana, kina Mama, Vijana na Wenye ulemavu
37. Ukuaji wa Teknolojia katika viwanda
38. Kukuza Elimu kwa kiwango cha juu
39. Kuboresha mifumo ya Kodi
40. Kukuza Tasnia ya Sanaa na Wasanii katika Muziki na Sanaa ya Maigizo
41. Kukuza biashara ya Bahari kwa wavuvi
42. Kuongeza upana wa soko la bidhaa zinazozalishwa Tanzania kwenye soko la nje
43. Kukuza Michezo
44. Kulinda tamaduni za watanzania
45. Kuboresha Vyuo vya ufundi stadi
46. Ujenzi wa Reli za kisasa
47. Kuboresha miradi ya Makaa ya Mawe na Chuma pamoja nakuazisha uzalishaji wa aluminium, Copper, Nikel, na Uranium
48. Kujenga Flyovers
49. Kujenga Stendi kuu za mabasi, kujenga a mpya,
50. Kujenga Masoko Mapya, Machinjio na miradi mingine ya kimkakati.
Aziza Mbarza 20201030_171514.jpg
 
Kama wameamua hivyo iweje polisi walazimishe kutangazwa walioshindwa?
Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu!
Na:KAWAWA

1. Elimu Bure
2. Barabara
3. Madaraja
4. Meli
5. Uchumi
6. Afya
7. Ndege
8. Viwanja vya Ndege
9. Maji
10. Utatuzi wa kero
11. Upendo kwa wananchi
12. Kutetea haki
13. Kulinda Uhuru wa Wananchi
14. Uzalendo
15. Ulinzi
16. Amani
17. Komesha ya ufisadi
18. Kujali wafanyabiashara
19. Kutunza thamani ya Madini
20. Mleta nidhamu na mfariji kwa wanyonge
21. Umeme vijijini
22. Viwanda
23. Kilimo Bora
24. Utalii
25. Miradi ya Gas
26. Miradi ya Uchimbaji Mafuta
27. Ujenzi Bora wa majengo ya serikali
28. Vivuko vya Majini
29. Uundaji wa Satellite
30. Jeshi imara na madhubuti
31. Uhuru wa habari
32. Kuongeza huduma za utoaji haki Mahakamani
33. Kukuza soko la Ajira
34. Kudumisha mahusiano ya Kimataifa
35. Kumtanguliza Mungu katika yote haya
36. Kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi, kusaidia Mitaji kwa vijana, kina Mama, Vijana na Wenye ulemavu
37. Ukuaji wa Teknolojia katika viwanda
38. Kukuza Elimu kwa kiwango cha juu
39. Kuboresha mifumo ya Kodi
40. Kukuza Tasnia ya Sanaa na Wasanii katika Muziki na Sanaa ya Maigizo
41. Kukuza biashara ya Bahari kwa wavuvi
42. Kuongeza upana wa soko la bidhaa zinazozalishwa Tanzania kwenye soko la nje
43. Kukuza Michezo
44. Kulinda tamaduni za watanzania
45. Kuboresha Vyuo vya ufundi stadi
46. Ujenzi wa Reli za kisasa
47. Kuboresha miradi ya Makaa ya Mawe na Chuma pamoja nakuazisha uzalishaji wa aluminium, Copper, Nikel, na Uranium
48. Kujenga Flyovers
49. Kujenga Stendi kuu za mabasi, kujenga a mpya,
50. Kujenga Masoko Mapya, Machinjio na miradi mingine ya kimkakati.View attachment 1616385
Hakika watanzania tumeamua, na hatukukosea kumchaguankwa mara ya pili JPM.
 
Tumbo GANI mkuu Mimi niko ZANGU island nalima mpunga nani analisha tumbo langu tofauti na mimi mwenywe
Unatetea tumbo lako
Unao
Wameamua pia kuendeleza uvamizi wa Zanzibar , kuuwa watu wake , kuwapiga , kuwanajisi , kuwateka na kuwaibia kila kilicho chao??

Tanzania weaponized laws to undermine political and civil freedoms
Ushahid mkuu ACHA HUU uzushi MZEE taasis za kimataifa na za NDANI zime prove Kuwa kuna amani na uchaguz wa huru na haki
 
Tumbo GANI mkuu Mimi niko ZANGU island nalima mpunga nani analisha tumbo langu tofauti na mimi mwenywe

Unao

Ushahid mkuu ACHA HUU uzushi MZEE taasis za kimataifa na za NDANI zime prove Kuwa kuna amani na uchaguz wa huru na haki
Kuna amani uliitoa wewe? Ndugu zetu wanaingiliwa majumbani huku Pba ,wasichana kunajisiwa na warundi mliowakodi huku wakituibia majumbani unaita amani?
 
Polisi wamelazimishwa wapi bwan ww acha kumsikiliza uongo na uzushi wa WATU wengi mkuu usiwe subjectivity lkn uwe objectivity
Mimi sijasema hao polisi wamelazimishwa! Nilichosema ni kwamba, kuna maeneo kadha wa kadha Nchini unakuta Wananchi wameamua kumchagua mpinzani,
Na majumuisho yote yanadhihirisha aliyeshinda ni mpinzani!

Lakini mwisho wa siku polisi wanakuja na silaha zao za moto, wanawalazimisha wananchi kutawanyika, na baadae Msimamizi wa kituo anasimamiwa na hao polisi kumtangaza mshindi kutoka chama tawala ma ambaye hakuwa chaguo la wananchi.

Huu uonevu umetokea sana kwenye ngazi ya Udiwani. Na mfano mzuri ni tukio la Mgombea Udiwani kata ya Nzuguni Dodoma! Picha zimetapakaa kwenye mitandao zikimuonesha akilia kwa uchungu baada tu ya kudhulumiwa haki yake kwa mtutu wa bunduki, huku wapambe wake nao wakiswekwa lupango pasipo na kosa lolote!

Taarifa zinaonesha alimshinda Mgombea wa chama tawala ambaye hakuwa anakubalika kwa Wananchi kutokana na dharau na kiburi kilichopitiliza kwa wapiga kura.
 
Back
Top Bottom