Tangu tupate uhuru wa bendera kutoka kwa Ufalme wa Uingereza, Tanzania tumekuwa tukiomba msaada wa kugharimia Chaguzi Kuu zote kutoka nchi marafiki na jumuia za kimataifa. Lakini uchaguzi wa mwaka...
Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu!
Na:KAWAWA
1. Elimu Bure
2. Barabara
3. Madaraja
4. Meli
5. Uchumi
6. Afya
7. Ndege
8. Viwanja vya Ndege
9. Maji
10...
Wanabodi,Mambo ya "SHIKWAMBI" .Ahaaa aaaaa unaweza kucheka lakini huu ndio uhalisia tutashinda kwa mbinu
Kabla ya mpira kuanza na filimbi kupigwa ili mpira uanze katikati ya uwanja tayari chadema...
Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao.
Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo...
Wadau wa JF, nawasalimuni nyote.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020...
Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei.
Dkt. Charles...
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni...
Ndugu zangu,
Nipo hapa maeneo ya Moshono jijini Arusha nimekutana na kundi la vijana ambao wanaonesha bashasha usoni mwao. Kijana mmoja amejitambulisha kwa majina ya Protas Shao akizungumza kwa...
Ndugu wana JF, kwa miaka kibao tumepiga makelele humu juu ya udhalimu, ufisadi, uonevu, na incompentency ya kwa miaka ya nyuma, Magufuli Jembe ameleta mabadiliko makubwa sanaa. Tumpe tena mitano...
Nidhahiri hili lilipangwa kwani siyo bahati mbaya na kama mafunzo yakifanyinka kwa kipindi kirefu! na pia kura ilipigwa siku nyingi! na tanguy siku Polepole atangaze kuwa ushindi utakuwa 87%...
Uchaguzi umemalizika. Kuhusu kama uchaguzi ulikuwa ni wa uhuru na haki, wote majibu tunayo moyoni. It was not.
Cha muhimu ni kwamba upinzani umegain enough momentum kiasi kwamba umekuwa tishio...
Habari wanaJF,
Leo kuna jambo ambalo ningependa kuona michango ya wanachadema wenzangu (hasa wale ambao hawana mihemko).
Matokeo ni kama tunavyoona kuwa ni kama hakutakuwa na ruzuku hivyo...
Repoti za Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa zimeeleza kuwa uchaguzi uliofanyika nchini Oktoba 28 na mchakato wake wote ulikuwa huru na wa haki. Miongoni mwa Taarifa zilizotolewa jana mbele ya...
Uchaguzi umeisha na Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais mteule kwa kupata kura 12,516,252 na Ndugu Tundu Lissu kura 1,933,271
Waraka wangu mfupi kwa kwa Rais...
Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi...
30 OKTOBA 2020
Tumekuwa wafuatiliaji wakubwa wa kampeni zako tukiwa na matarajio ya kupata mengi mazuri baada ya kurudi kutoka Ubelgiji ukionyesha hali ya kushiriki vema katika kampeni zako.
Na...
Hili tope walilojipaka CCM katika uchaguzi huu watalisafishaje?
Hii mipango ya wizi wa kura nadhani ilifanywa kwa haraka katikati ya kampeni baada ya kupima kina cha maji na kuona kina ni kirefu...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to...
Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City...
Tafsiri isiyo rasmi.
Wakati mamlaka za Tanzania zikitoa matokeo ya Uchaguzi wa wiki hii, tunaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa juu ya ripoti za kuingiliwa kwa utaratibu katika mchakato wa...