KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Nidhahiri hili lilipangwa kwani siyo bahati mbaya na kama mafunzo yakifanyinka kwa kipindi kirefu! na pia kura ilipigwa siku nyingi! na tanguy siku Polepole atangaze kuwa ushindi utakuwa 87% Nidhahili hili lilipangwa siku nyingi!
Hakuna cha kubadilisha kutokana na mfumo,na katiba yetu! Hivyo sasa huu ni wakati wakupigania demokrasia nje ya bunge kwa kupaza sauti. Hata hivyo niwakumbushe sasa kinachokuja, hata mikutano ya ndani itakuwa kwa kibali maalumu!
Mkae tayari. Pia katika kipindi cha mwisho wa muhula wa pili itapitishwa kwenye katiba ya kuondoa ukomo wa madaraka kwa rais na wabunge nao wataongezewa muda kutoka 5-8!
Sasa Tanzania hii imeishabadilika.