Tibor Nagy: Beberu wa Kimarekani

Tibor Nagy: Beberu wa Kimarekani

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,731
Reaction score
11,470
Tafsiri isiyo rasmi.

Wakati mamlaka za Tanzania zikitoa matokeo ya Uchaguzi wa wiki hii, tunaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa juu ya ripoti za kuingiliwa kwa utaratibu katika mchakato wa Kidemokrasia.

Tunaendelea kupitia madai ya kuaminika ya matumizi ya nguvu dhidi ya raia wasio na silaha.
Screenshot_20201030-183023~2.png
 
Ntawapa ushirikiano wowote mabeberu wanaoutaka ili viongozi waserikali iliyosimikwa na police, JWTZ, JKT,na tume iwajibishwe kadri ya uwezo wangu, ilimradi ushirikiano huo utakuwa kwa lengo lakuinufaisha nchi yangu Tanzania,kuipenda nchi nitofauti nakuipenda Serikali, ee Mungu naomba unisaidie.
 
Tupo ndani ya 18 hatu chomoki tukichomoka nina funga account yangu hili hali hitaji PhD kulijuwa hatu Chomoki
 
Hahaha halafu watafanya nini?! Siku zote husema hivi hivi kututia moyo, sijawahi kuona matokeo ya maneno yao.

We need action.
 
Kwahiyo hii ndio ile mlisema hamtamwachia Mungu?
 
Jana saa mbili usiku wamesema maalimu Seifu aachiwe haraka, saa sita usiku wakamuachia kwa nini hawakuendelea kujaza matako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo unahisi walimwachia sababu ya maneno hayo?

Mwambie Seif ajaribu kuandamana tena uone kama hatakamatwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo unahisi walimwachia sababu ya maneno hayo?

Mwambie Seif ajaribu kuandamana tena uone kama hatakamatwa
Walimuachia kwa sababu gani, nakwanini wamezunguka nyumba yake jwtz muda wote?.

Kwanini network imezimwa mtu hawezi tuma sms,piga simu akiwa Pemba?.
 
wananchi wamefurahi na wana amani....USA wamechefukwa?
 
Hakuna kitu hapo wanawaliwaza tuu, hakuna kitu watafanya, hii ndio imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom