Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tandahimba hajawalipa wasimamizi posho ya kufuata na kurejesha Vifaa vya Uchaguzi

Ben Bella

JF-Expert Member
Dec 3, 2019
519
1,000
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.

Kama mada inavyojieleza hapo juu.

Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za kiutendaji ikiwemo na zile posho za kufuata na kurejesha masanduku na vifaa vingine makao makuu ya jimbo.

Katika majimbo mengi, kiasi kilicholipwa kwa kazi ya kufuata na kurejesha vifaa ni kama ifuatavyo:

i. Wasimamizi wa vituo Sh. 150,000

ii. Wasimamizi wasaidizi wa vituo Sh. 100,000

Mpaka sasa, wasimamizi wa uchaguzi wa jimbo hili la Tandahimba hawajalipwa wala kupewa maelezo yoyote yale kuhusiana na utaratibu wa malipo hayo.

Hapa kuna dalili ya upigaji kwa maana huyo msimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo ana hulka ya 'kupiga'

Tafadhali sana, NEC ingilieni kati suala hili ili hao wasimamizi wapate haki zao.
 
Mtoto wa Mama Samia

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
766
500
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.

Kama mada inavyojieleza hapo juu. Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za kiutendaji ikiwemo na zile posho za kufuata na kurejesha masanduku na vifaa vingine makao makuu ya jimbo.

Komaaaa
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,187
2,000
Naona mmepata pa kushushia laana zenu zisizo na impact yoyote

Uchaguzi umeisha tujenge nchi sasa kwa pamoja

Hongera Mgufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,631
2,000
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.

Kama mada inavyojieleza hapo juu. Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za kiutendaji ikiwemo na zile posho za kufuata na kurejesha masanduku na vifaa vingine makao makuu ya jimbo.

Katika majimbo mengi, kiasi kilicholipwa kwa kazi ya kufuata na kurejesha vifaa ni kama ifuatavyo:

i. Wasimamizi wa vituo Sh. 150,000

ii. Wasimamizi wasaidizi wa vituo Sh. 100,000

Mpaka sasa, wasimamizi wa uchaguzi wa jimbo hili la Tandahimba hawajalipwa wala kupewa maelezo yoyote yale kuhusiana na utaratibu wa malipo hayo.

Hapa kuna dalili ya upigaji kwa maana huyo msimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo ana hulka ya 'kupiga'

Tafadhali sana, NEC ingilieni kati suala hili ili hao wasimamizi wapate haki zao.
Hii haibadilishi ushindi wa kishindo!
 
Mbotonho

New Member
May 13, 2020
2
45
Huyo msimamizi wa jimbo ni fisadi. Imekuwaje majimbo mengine wawe wameshalipa halafu yeye ashindwe kulipa tangu ulipofanyika uchaguzi.
 
Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
9,056
2,000
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.

Kama mada inavyojieleza hapo juu.

Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za kiutendaji ikiwemo na zile posho za kufuata na kurejesha masanduku na vifaa vingine makao makuu ya jimbo.

Katika majimbo mengi, kiasi kilicholipwa kwa kazi ya kufuata na kurejesha vifaa ni kama ifuatavyo:

i. Wasimamizi wa vituo Sh. 150,000

ii. Wasimamizi wasaidizi wa vituo Sh. 100,000

Mpaka sasa, wasimamizi wa uchaguzi wa jimbo hili la Tandahimba hawajalipwa wala kupewa maelezo yoyote yale kuhusiana na utaratibu wa malipo hayo.

Hapa kuna dalili ya upigaji kwa maana huyo msimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo ana hulka ya 'kupiga'

Tafadhali sana, NEC ingilieni kati suala hili ili hao wasimamizi wapate haki zao.
We unakung'utwa eeh?
Tutolee upuuzi wako humu
Si mlisema mitano tena kamshitakie mliyembebea mabegi ya kura
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom