Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Uchaguzi huu ulikuwa wa madudu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
E2507AC8-132F-4B96-9339-883552FD21E8.jpeg

Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.

Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
 
Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.

Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
 
Wewe jamaa unafurahishaga sana, huwa hukati tamaa na harakati zako za mbio za sakafuni. Usikute ndio umeanza safari nyingine tena ya kuzungukia tweets za wanasiasa kuzileta JF hadi 2025.

Zamu hii hadi 2025 utakuwa hujaokota makopo kweli!?, Kwa kipigo kilichowakuta niliamini mtapunguza upashkuna wa mitandaoni. Ila mna moyo aisee.
 
Hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza...
Aibu kubwa kwa vibaraka na mabwana zenu, mikaratasi imprint wenyewe, msambaze wenyewe, mjikamate wenyewe na muharibu ushahidi kwa kuuchoma wenyewe, ushaona wapi kielelezo/ushahidi unachomwa moto? mbona hatuwaoni mlowakamata na hayo makaratasi? Pathetic.
 
View attachment 1616893
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe-Bernard Membe kupitia twitter
Asante kwa taarifa.
Rais tunaye tayari.
 
Aibu kubwa kwa vibaraka na mabwana zenu, mikaratasi imprint wenyewe, msambaze wenyewe, mjikamate wenyewe na muharibu ushahidi kwa kuuchoma wenyewe, ushaona wapi kielelezo/ushahidi unachomwa moto? mbona hatuwaoni mlowakamata na hayo makaratasi? Pathetic...

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!

Mpaka askari wamewasaidia kuyaficha makaratasi kwenye vituo vyao, ulitaka wakamatwe polisi?!

Najua huu ukweli unakuumiza kwa mahaba yako ya kijani ila vumilia tu, acha ujinga kidogo uwe huru.
 
Aibu kubwa kwa vibaraka na mabwana zenu, mikaratasi imprint wenyewe, msambaze wenyewe, mjikamate wenyewe na muharibu ushahidi kwa kuuchoma wenyewe, ushaona wapi kielelezo/ushahidi unachomwa moto? mbona hatuwaoni mlowakamata na hayo makaratasi? Pathetic...

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile appisaidieni jamani,mimi nataka kujifunza
Hivi nikikamata mwizi tuseme kaniibia redio,na polisi wakafika wakamdhibiti,
ipi ni sahihi kati ya hizi njia za kutunza hiyo redio kama kithibitisho

1. Mimi kuchukua redio kwenda kuitunza au polisi ndo wanaotunza hicho kifaa?
2. Naamini kukutwa na kura feki kwenye eneo la kupigia kura ni kosa la jinai, sasa je ni nani alitakiwa kushughulika na huyo mhalifu ni raia waliokuwepo eneo la tukio au ni polisi?

Mwenyekujua anisaidie ili huko mbeleni nisijekosea asanteni
 
Huyu dakika Mzee wa dakika ya 89 ilipofika hiyo dakika yeye ndio akaunawa mpira kwenye penalty box lake na kusababishia timu yake penalty.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wewe jamaa unafurahishaga sana, huwa hukati tamaa na harakati zako za mbio za sakafuni. Usikute ndio umeanza safari nyingine tena ya kuzungukia tweets za wanasiasa kuzileta JF hadi 2025. Zamu hii hadi 2025 utakuwa hujaokota makopo kweli!?, Kwa kipigo kilichowakuta niliamini mtapunguza upashkuna wa mitandaoni. Ila mna moyo aisee.
Lol kuna binadamu wapumbavu lakini wewe ni kiboko yao! Yaani bado unaamini uchaguzi (kwa maana ya uchaguzi) ulifanyika na magu alishinda? Pole sana!
 
Huyu sasa yupo kundi lipi? La CHADEMA na ACT ya Zitto au kundi la wale wagombea wengine 9?
 
Mpaka mwenzao kawasusa, na hayo madudu dunia nzima imeyaona, Magufuli nitamshangaa sana kama anaamini hapo alipo alishinda kihalali, zamani tulizoea kuona mitihani ina "leak" but this time, and for the very first time, makaratasi ya kupigia kura yenye tiki kwa wagombea wa CCM ngazi zote yalitapakaa nchi nzima mapema kabla hata ya zoezi la upigaji kura halijaanza.

Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu, na itaharibu sana taswira yetu kwa mataifa ya nje, kununua ndege nyingi hata siku moja hakuwezi kuwa sababu ya kuharibu demokrasia; now tupo kundi moja na nchi zinazotawaliwa kibabe kama Uganda na Rwanda, we need to fight to save our country from this mess.
Najaribu kuwaza uhalali wa hii Tume kuendelea kuwepo. Hii tume ilipaswa kuvunjwa kwa kuruhusu karatasi zake kuvuja.

Sema hili litakua gumu Sababu wa kuivunja hii Tume ni serikali ya CCM ambayo ndio mfaidika wa huu udhalimu.
 
Hivi nikikamata mwizi tuseme kaniibia redio,na polisi wakafika wakamdhibiti,
ipi ni sahihi kati ya hizi njia za kutunza hiyo redio kama kithibitisho

1. Mimi kuchukua redio kwenda kuitunza au polisi ndo wanaotunza hicho kifaa?
2. Naamini kukutwa na kura feki kwenye eneo la kupigia kura ni kosa la jinai, sasa je ni nani alitakiwa kushughulika na huyo mhalifu ni raia waliokuwepo eneo la tukio au ni polisi?

Mwenyekujua anisaidie ili huko mbeleni nisijekosea asanteni
Polisi wetu ni sehemu ya huu udhalimu. Jacob aliegombea Ubunge Ubungo kupitia CDM anasema alifanikiwa kumkamata jamaa akiwa na kura kibao tu na kumpeleka Polisi lakini kule alijibiwa kua wao Polisi hawahusiki na issues za kura, ni mambo ya tume, so Jamaa akaachiwa.
 
Kama unajitia upofu makusudi utaona vipi?!

Mpaka askari wamewasaidia kuyaficha makaratasi kwenye vituo vyao, ulitaka wakamatwe polisi?!

Najua huu ukweli unakuumiza kwa mahaba yako ya kijani ila vumilia tu, acha ujinga kidogo uwe huru.
Alivyo kenge anadhani ushahidi umechomwa wote.
 
Back
Top Bottom