Ili kupata Tanzania mpya tunahitaji mabadiliko yafutayo ikiwemo kulifuta Jeshi la Polisi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Tanzania mpya itakayo kuwa na maendeleo bora ya kidemokrasia yanayo jali haki ya kila mtanzania tunahitaji kugusa maeneo yafuatayo.

1. Katiba mpya.

2. Kufuta jeshi la polisi na kuunda huduma ya polisi ( Police service).

3. Kufuta muundo wasasa wa usalama wa taifa na kuunda taasisi mpya ambayo itakuwa inajitegemea na yenye uwazi hata kwenye usaili wa wafanya kazi wake.

4. Kuliondoa JWTZ kwenye majukumu ya kupambana na raia.

Haya yote yafanywe na watu ambao sio wanasiasa na hawajawahi kuwepo kwenye siasa ila wawe na elimu ya kutosha na uelewa na mambo yanavyo endelea duniani

Kwa mwendo huu ipo siku tutakuja pata kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea duniani

IMG_20201030_161820.jpeg
 
Back
Top Bottom