Imeisha hiyo
Huyu kwake chama ni bora kuliko wananchi waliomwamini kuwawakilisha. Halafu huyu alikuwa mmoja wa vitu maalum kwa Mwenyekiti so ni uamuzi uliotegemewa.
Bahati mbaya yote unayotaka na CHADEMA yako Watanzania tumeyakataa katika box la kura. Demokrasia ni kuheshimu maamuzi ya wengi.Tunataka bunge liwe kama kikao cha chama ikiwezekana wafanyie Kizota.
Mtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.Ajiuzulu tu turudie uchaguzi tumgaragaze.
Wana Nkassi hatupendi dharau
Huyu Dada ubunge wa viti maalum ulifanya mpaka kumkacha mumewe, Mbowe Mungu anakuona. Ulitegemea afurahi?.Kamanda wa ukweli huyu!
Ajitenge na kikao cha CCM pale Mjengoni.