Kwanini wafuasi CHADEMA hawamtaji Lissu kama "Rais wa mioyo yao?"

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"

Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?

Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?

Tujadili kwa utulivu
 
Kwanini hamjaridhika na ushindi wa kishindo?Jikiteni kutekeleza ilani,ya CDM waachieni wana CDM wenyewe!Ninyi Makada endeleeni kushangilia ushindi huku mkipiga kazi!
 
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"

Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?

Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?

Tujadili kwa utulivu
Jina lako limesharudi kwenye vitu maalum? Jee likirudi umesha tunguliza uipate tena ile ofisi chini ya mzee wa degree 7 ambaye wajumbe walimfyeka?
Achana na mambo ya Chadema ungejikita kuzungusha U.N.O ili mambo yajipe maana kama ni kutumia medulla hupati kitu
 
HII NDIO RODUCT YA LUMUMBA YA\NI VIJANA WA HOVYO KABISA.

HAQA VIJANA WACCM WANAIHARIBIA HADHI JF.

Jiulize kwa nini Tanzania ni nchi masikini ya 8 kutoka chini????

ACHA KUWEWESEKA NA CHADEMA JIANGALIE WATAKUOA
 
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"

Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?

Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?

Tujadili kwa utulivu
Iwapo angebadili kabila na kua mchaga sawa
 
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao"

Kwanini Tundu hatajwi kama "Rais wa mioyo ya wafuasi wa CHADEMA?"kuna jambo gani linaendelea?

Au Tundu si chaguo lao kama ilivyokuwa kwa Lowassa mwaka 2015?

Tujadili kwa utulivu
Kwa mwandiko huu unaonyesha wewe ni demu wa kigogo fulani
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom