Dokezo Jipya: Baada ya Bunge kuvunjwa kuna mafuriko ya wana CHADEMA wanahamia NCCR Mageuzi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.

Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.

Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.

Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.

Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.

Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.

Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.

Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.

Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.

Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.
 
chagu wa malunde wewe unahamia au unabaki CHADEMA? Mimi bado sina chama labda kama unaweza kunishawishi utofauti na mfanano wa sera za CCM, CHADEMA, NCCR na CUF
 
Maandalizi ya kuinyanyua NCCR Mageuzi yalianzia pale wakubwa wale walipokutana wakagonganisha miguu pale picha zikapigwa zikasambaa wote tukaziona. Kwahiyo inaeleweka sasa kuwa wanaohamia huko na wanaounga mkono juhudi ni walewale wanafanya jambo lilelile
 
..hili jambo lilikuwepo tangu kampeni za Magufuli za 2015.

..katika kila mkutano wa kampeni kulikuwa na foleni za viongozi wa cdm wanaohamia ccm.

..hao wanaohama hawamalizi kiu ya wananchi kutaka demokrasia, haki, na maendeleo.
 
Sasa wakihama kuna shida gani au wewe utaumizwa na nini ..

fanya kazi familia yako ipate ugali haya mambo ya Chadema hayata leta ugali ndani kwako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.

Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.

Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.

Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.

Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.

Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.

Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.

Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.

Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.

Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.
Yaani mtoa maada unachekesha, mtu Mwenye akili atoke chama chenye akidi zaidi ya milioni kumi ahamie kwa Mrema?

Zitakuwa hazimtoshi, Pili kuwa CHADEMA ni chama cha familia ni habari ukawaambie watu zisizowatosha! Na ni propaganda mfu na ya kizamani, maana tulisikia ni chama cha wachaga imepita, cha wakristo imepita sasa imekuja ni cha familia! Amini usiamini CHADEMA laazima kunasiku kitaongoza taifa hili maana ni chama sio kundi la wahuni na walaghai kama chama kubwa CCM, Cha ujamaa kisicho na mjamaa!
 
Mkianza kuhama 2015, hii taarifa haistui kabisa, hameni ila cham abado kitaedelea mbele, kila mbinu mnayofanya dhidi ya chadema ni njia moja wapo ya kukifanya chama kiwe imara

What does not kill you. Makes you even stronger

Haya kachukue buku saba pale lumumba ukanunue nepi ulale
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.

Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.

Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.

Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.

Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.

Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.

Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.

Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.

Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.

Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hili jambo lilikuwepo tangu kampeni za Magufuli za 2015.

..katika kila mkutano wa kampeni kulikuwa na foleni za viongozi wa cdm wanaohamia ccm.

..hao wanaohama hawamalizi kiu ya wananchi kutaka demokrasia, haki, na maendeleo.
Jipe moyo.
 
Wabunge ndiyo mafuriko. Aki mmetuzoea waTZ.
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.

Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.

Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.

Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.

Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.

Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.

Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.

Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.

Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.

Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi nilizopewa ni za ndani kabisa na mtu aliyeniambia ni mtu wa ndani ndani ya CHADEMA.

Kile kilichotokea tarime ni kama mfano tu pamoja na wanachama wa chadema kufanya vurugu na kupopoa mawe gari la NCCR Mageuzi.

Inasemekana ndani ya CHADEMA kuna uozo mwingi na ukiritimba bali watu walikuwa wanavumilia tu.

Chama ni mali ya mtu mmoja na familia yake.

Maamuzi ya chama yanafuata matakwa ya mtu mmoja.

Mali za chama zinaliwa na mtu mmoja wabunge nao wanachangishwa kama vile wanalipia pango.

Makatibu wa wilaya hawalipwi na mambo mengi yasiyofaa.

Wimbi hili la mwisho litakuwa ndio fagia fagia ya kukimaliza CHADEMA.

Na huu ndio utakuwa mwisho wa Chadema.

Maana sidhani kama wataweza kukomaa kama NCCR mageuzi.
Hizo ni taarifa FEKI habari za uhakika ni kwamba wanachama na hata wabunge wengi wa CCM watatimukia CHADEMA au ACT mara bunge litakapovunjwa
 
Back
Top Bottom