Naanza kumpenda Magufuli. Kuna mambo hayasemwi kabisa kwa sababu maalum kumbe Magufuli ana haki kwa upande mwingine

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M sio rahisi kutekeleza matakwa ya kibinafsi au ya makundi ya wachache.

Makala yangu itajikita katika mazuri ya Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kimsingi sisi watesi wake au tunaomchukia hatuyasemi kwa uwazi.

Naomba ku declare interest kwamba Mimi ni mpinzani wa CCM na hasa Magufuli mwenyewe ila Kuna Mambo mema ambayo kwakweli nisipomsifu yeye binafsi Nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu.

Nitatumia uwanja huu kuongelea mazuri ya MH Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kwakweli binafsi nimeyaona ;

Magufuli Leo kuna mahali nimepata ukweli mwema kuhusu wewe Rais wangu naomba niamini chanzo kile.

My Rais Kama niliyoambiwa Ni yakini basi wewe Ni jembe nguli hakika ila njia inayotumiwa kuonyesha Nia yako ni ndefu Sana wasioielewa tunalaumu :

NB: CCM Hamhusiki na uzi huu msijipendekeze
 
1.Awamu ya tano haijapiga kelele kabisa kuhusu mafanikio yake ya kudhibiti mujahedeen ndani ya taifa tujiulize kwanini taifa lilitikiswa kwenye siasa Kali za makundi ya kidini lakini walizimwa kimya kimya bila kelele?


Kwa hili nasema MH Rais John Joseph pombe magufuli nakupa heko!!
 
1.Awamu ya tano haijapiga kelele kabisa kuhusu mafanikio yake ya kudhibiti mujahedeen ndani ya taifa tujiulize kwanini taifa lilitikiswa kwenye siasa Kali za makundi ya kidini lakini walizimwa kimya kimya bila kelele?


Kwa hili nasema MH Rais John Joseph pombe magufuli nakupa heko!!
udini
 
Imagine tuwe wakweli wale wa siasa kali wamevukaje Somalia na Kenya mpaka msumbiji/mocambique bila kuweka HQ kwenye pwani zetu ? Hatuombei hili litokee ila pengine hulka ya magufuli imesaidia Sana bila sisi kujua imagine leo alshabaab wanatikisa msumbiji hapa waliondolewa kwa kwa wiki tatu nakiri kusema hili kwasababu Kuna ndugu yangu Ni komando wa jwtz tulikuwa na matatizo ya kufamilia nikampigia by then nikiwa nje ya nchi ananiambia nanukuu "Kaka Niko porini operation maalum kibiti mtwara kata simu" baada ya hapo ikawa mwisho wa mawasiliano miaka mitatu mpaka Leo*
 
Kwa Mambo Kama haya nampongeza Sana MH Rais John Joseph pombe magufuli maana naona taifa limetulia na mdogo wangu ambae kiukweli sijawasiliana nae baada ya ile komandi yake kata simu naamini dogo anapigania taifa

Mpaka kesho hata nikiingizwa kabubirini jwtz nitawaheshimu Sana Mungu awalinde wapiganaji wetu

Viva jwtz // viva wapiganaji// viva ngome ya jwtz pale upanga !!!!
 
Kila lenye kasoro Lina jema najiuliza bila serikali yenye nguvu na mkono mrefu Leo hii pwani ya Tanzania waliyoitaka wakoloni kipindi Cha Karne ya 18 ingekuwaje ? Nampongeza Sana magufuli kwa hulka yake ila naichukia Sana ccm na washauri wa magufuli kwasababu najiuliza je? Tusingepata unafuu huu wa kulindwa na gvt bila kuonea wapinzani?


Mwisho wa siku namsifu jpm kwa kuisimamia dola kulinda taifa ila nailaumu dola hasa polisi kwa kuonea wapinzani!!

Mungu wasimamie washauri wa jpm wamshauri vyema anapatia Sana na anakosea Sana mwisho wa siku Ni Mark time!!
 
Back
Top Bottom