TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya...
Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi?
Leo...
Anaandika Amar Ali
Gwiji la uchumi kutoka Tanzania, Prof Lipumba, amepata mwaliko wa kikazi huko Geneva, Swizerland, kwa miezi 9. Wakati akiwa Geneva, atajiuzulu kupisha chama kuunda kamati ya...
Hakuna tena sababu za malumbani kwani aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA mh Tundu Lisu amesharejea nyumbani kwake Ubelgiji ikiwa na ishara ya kutamatisha harakati zake.
CHADEMA watamshukuru sana...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kupitia CCM, Eric Shigongo James, amejumuika na wazee wa Kijiji cha Nyehunge baada ya kuwakuta wakinywa pombe ya kienyeji aina...
Tafsiri kupitia tamko la Rais mteule wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, baada ya kutangazwa mshindi, inaweza kujenga taswira kuwa kiongozi huyo anaweza kuwa na dhamira ya kuunda Serikali ya Umoja wa...
Aliyekuwa mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA mh Tundu Lissu ametakiwa kuripoti Mahakama ya Kisutu tarehe 3 Disemba kujibu tuhuma za uchochezi zinazomkabili.
Wakili wa Serikali alisema kesi hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amesema, Lazaro Nyalandu amezuiwa Namanga kwasababu hakuwa na nyaraka muhimu na atafikishwa Mahakamani endapo atashindwa kuwasilisha nyaraka hizo.
Mke...
Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu...
Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima...
Hii ni habari kwa mujibu wa gazeti moja la nchini Kenya ambalo limefanya mahojiano na Lema akiwa nchini humo kutafuta hifadhi ya kisiasa.
Habari kamaili hii.
=======
Former Tanzanian MP...
Nimemsikiliza vizuri sana msemaji wa NCCR Mageuzi ndugu Edward Simbeye akisema kua kuna takribani Watanzania zaidi ya 40 walipoteza uhai wao uliotokea wakati wa uchaguzi pande zote mbili bara na...
Tanzania ni kimbilio la wengi wanaoitafuta amani na siyo kinyume chake.
Napendekeza viongozi wa kamati ya amani nchini , mwenyekiti shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salumu na askofu Gamanywa wa...
Kwa watu wanaonijua vyema, nina karama na uwezo wa kusoma siasa za nchi fulani na kutabiri mabadiliko ambayo wengi wanakuwa bado hawajayaona. Haya si majisifu, nasema tu ukweli.
Nilifanya hivyo...
Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani?
Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.
Kwanini anaapa au anaapishwa?
Kinga aliyonayo ni kubwa sioni...
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema amemuengua Bonaventura Peter Ndekenja wa chama cha NRA aliyemtumia baruapepe akieleza nia yake ya kutaka kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi.
Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika
Nilipita Kumjulia hali...