Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa katika chama, lakini naamini baada ya uchaguzi Mbowe hatavumilia sifa hizo kwa mtu mwingine.
Najua hataweza kutoboa nafasi ya urais sasa nisichojua, amejiandaaje kuishi ndani ya chama baada ya matokeo ya tar. 28? Watakaobahatisha ubunge watapata nafuu sana lakini itakuwa kwa idadi ndogo sana na haitawezesha CDM kupata ruzuku ya kumtunza mgombea kama ilivyokuwa kwa Dr Slaa.
Kwa kifupi, Lissu utapata double impact; kutopendwa na M/kiti na hutakuwa na kipato cha kisiasa kama ulivyozoea.
Jiandae kuunda chama chako.