Uchaguzi umekwisha, Tundu Lissu amerejea Ubelgiji na sasa wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA waapishwe na Kazi Iendelee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,747
2,000
Hakuna tena sababu za malumbani kwani aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA mh Tundu Lisu amesharejea nyumbani kwake Ubelgiji ikiwa na ishara ya kutamatisha harakati zake.

CHADEMA watamshukuru sana Tundu Lisu kwa sababu amewawezesha kupata ruzuku na wabunge wa viti maalumu takribani 19

Kilichobaki wale wabunge wa viti maalumu wajiandae kula kiapo kabla Rais Magufuli hajafungua rasmi bunge.

Kazi na Iendelee

Maendeleo hayana vyama!
 

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
20,610
2,000
Uchaguzi haukuwa huru na Haki.dola imepora. Chadema haitatoa mtu yeyote kuingia bungeni kuhalalisha ushenzi na ufedhuli uliofanywa na CCM. MTAKULA JEURI YENU!
 

Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,211
2,000
Mbona mnateseka sana kuwakosa wapinzani bungeni wakati mlisema wanawachelewesha kuleta maendeleo. Ama kweli hamjui mnataka nn!!!!
 

fish 2

Senior Member
Aug 3, 2018
112
250
Ww n mjinga sana unafikil vikwazo vinaiathiri serikali peke ake ,,vikwazo vitakugusa mpaka wewe mshabiki wa huyo raia wa Belgium ,,ipende nchi ako ,,unafikil hata huyo Tundu akiw rais utafaidik nin ? Fikilia
Wewe hapo unafaidika nini kwa kuwa na Magufuli?? Mjinga mkubwa
 

fish 2

Senior Member
Aug 3, 2018
112
250
Inasikitisha sana alipokuja watu waliandamana kwa bashasha za nguvu ni nyenye ni nyenye " leo kaondoka hakuna hata boda boda wa kumpigia honi kumuaga. Lisu hawa ndiyo Watanzania wamekuonyesha hakuna jipya chini ya jua.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Akili za kijinga sana unazo sasa unadhani Taifa linachafuka kiasi gani sababu yenu wasukuma mafala??
 

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
289
500
KAMA KUNA MTU ATABAKIA KWENYE KUMBUKUMBU ZA KUIUA CHADEMA NCHINI BASI TUNDU LISSU NDIO AMEWEKA REKODI.

AMEKUJA AMEKIVURUGA VURUGA CHAMA, AKAWAUDHI WAPIGA KURA NA KUSABABISHA HASIRA ZILIZOPELEKEA UMMA KUAMUA KUIPIGA CHINI CHAGGA DEMA.

HALAFU KAWAACHIA MAJONZI YA KUUKOSA UBUNGE KINA HECHE,MATIKO,BULAYA,SUZAN KIWANGA,MDEE,SUGU,PROF J,MSIGWA,LEMA,MBOWE,WENJE, NA WENGINEO WEENGI KISHA

HUYOOOO...... KARUDI KWAKE.
View attachment 1623681
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom