Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia amjulia Hali DC wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,677
Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi.

Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika

Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu Wakati Nikielekea Uwanja Wa Ndege Wa Dar es Salaam Kuenda Dodoma Kushiriki Uapishwaji wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu Chamwino Novemba 09

Samia.jpg
 
Alichokiona na kukisifia Malawi sicho anachokibariki hapa! Duniani mkweli ni kinyozi tu, maadamu kichwa unacho wewe kinyozi hana kisingizio, vinginevyo!
 
Huyu makamo nimetokea kumchukia sana tangu atoe ile kauli yake kwenye campeni
Hata mimi nimemchukia sana huyu mama kalewa Pombe mapema sana. Kauli mbili, kwanza kwamba wauaji wa serikali huwa hawakosei , pili kwamba hata mpinzani akishida uchaguzi hawezi kutangazwa. sijui ameanza kutumia pombe gani
 
Huyu makamo nimetokea kumchukia sana tangu atoe ile kauli yake kwenye campeni
Mchukie na ponda aliyesema waislam wote wamekubaliana kumpigia kura zote tundu Lissu na keshashindwa anasubiri kuapishwa tuu, Sasa mchukie ponda kwanini Lissu hajaapishwa Hadi leo?
 
Get well soon DC

Maswali nayojiuliza

1. Je inawezekanaje mtu atoke Katavi hadi Dar kwenda kupanda ndege wakati anapita Iringa ambayo ni km zisizozidi 300 kufika Dodoma?

2. Au alikua Dar kwenye majukumu yake mengine?
 
Hata mimi nimemchukia sana huyu mama kalewa Pombe mapema sana. Kauli mbili, kwanza kwamba wauaji wa serikali huwa hawakosei , pili kwamba hata mpinzani akishida uchaguzi hawezi kutangazwa. sijui ameanza kutumia pombe gani
Toka Kanisa Katoliki lianze kuwajengea Waislamu misikiti, mama ametumia pombe ya boss wake miaka 5 sasa amelewa chakari anapayuka hovyo. Mama alianza vizuri lakini sasa ni la kutupwa!
 
Back
Top Bottom