Ndugu mheshimiwa,
Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa...
1. Vyama vyote vya upinzani unganeni muunde chama kimoja vunjeni vyote ubaki ushirika wa chama kimoja na kisiitwe chadema au cuf au act kitafutiwe jina lingine na hata bendera nyingine rangi na...
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma...
Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa...
Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila...
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA...
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi...
MBEYA NA IRINGA BADO NGOMA NGUMU
Na, Robert Heriel
Kama kuna majimbo ambayo CCM itahangaika sana ni pamoja na Iringa Mjini, Mbarali, Mbeya Mjini, na Tunduma Mjini.
Kanda ya juu Kusini sasa...
Nasikia Donald Trump amekimbilia mahakamani kusitisha uhesabuji wa kura. Akiwa madarakani amekimbilia mahakamani, badala ya kwenda kwenye Tume ya Uchaguzi. Hapa kwetu Tanzania, balaa, mgombea...
Tarehe 28 Oktoba 2020 imekuja na kupita. Uchaguzi umefanyika na matokeo tumeyapata. Mwenye kushinda ameshinda, na mwenye kushindwa ameshindwa. Kilichopo sasa ni kukubali matokeo na kurudi kuchapa...
Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi...
Those who watched the US presidential debate, just the other night, might have made a mental comparison of what Lissu applied for to be done just when he started his country tour; he requested a...
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa.
Majimbo ya Tanga hayana maendeleo...
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya...
Na Mwl, John Pambalu
Mwaka 2015 baada ya uchaguzi uliompa ushindi Mhe. Magufuli. Aliyekuwa Mkt wa Chadema mkoa wa Geita na mgombea ubunge Jimbo la Busanda marehemu Alphonce Mawazo. Alipokea...
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM.
Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa...
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Khenani akila kiapo bungeni jijini Dodoma, leo Jumanne Novemba 10, 2020.
>>> Zaidi soma...
Nasikitika kwa kusema repoti ya kitengo cha umoja wa mataifa kina fungua ukurasa mpya raisi wetu anaingia kwenye kundi la watawala waovu inasikitisha.
Awamu ya pili ameanza Kwa mguu mbaya, sasa...
Wanabodi,Kwa wale waliosoma uchumi au ni wachumi wanafahamu hakuna kitu muhimu kwenye uchumi kama gharama au bei za bidhaa za vitu kuwa imara yaani "Price stability"
Kwa kipindi cha miaka mitano...