Chondechonde Rais Magufuli, kwa hili la bei ya saruji usifanye nikajutia kura yangu kwako...

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?

Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.

Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
 
Baada ya chaguzi kuu ambazo zinafanyika kwa amani wakati ilitegemewa kutatokea machafuko mambo kama haya hutegemewa kutokea kwa sababu shughuli za kiuchumi huanza kufanyika kwa nguvu zaidi baada ya kulala wakati wa mchakato wa uchaguzi.

Hii husababisha demand kuwa kubwa zaidi ya supply na matokeo yake baadhi ya product hupanda bei au kuadimika!
 
Kuweni wapole cement itashuka tu mpaka 7000 kwa mfuko

Ova
 
Baada ya chaguzi kuu ambazo zinafanyika kwa amani wakati ilitegemewa kutatokea machafuko mambo kama haya hutegemewa kutokea kwa sababu shughuli za kiuchumi huanza kufanyika kwa nguvu zaidi baada ya kulala wakati wa mchakato wa uchaguzi.

Hii husababisha demand kuwa kubwa zaidi ya supply na matokeo yake baadhi ya product hupanda bei au kuadimika!
Mpuuzi wewe hujui lolote..
Unapenda tu kutetea vitu bila reasoning sababu ya no vya serikali ya meko..
Mbona hakuna bidhaa nyingine zilizo shoot price vibaya kama cement??
Acha upotoshaji.
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Mi nilidhani wanaccm mnauziwa elfu 12 kwa mfuko wa 50kgs kumbe tuna isoma wote?
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Wapinzani wanachelewesha maendeleo, hata hili la cement chanzo ni wao

Chapeni kazi
 
Back
Top Bottom