atika Hali ya kawaida CHADEMA kabla ya kampeni ilikuwa na wabunge zaidi ya 50, wakati hata kabla Lissu hajaenda Ubelgiji.
Kabla ya ujio wa Lissu, CHADEMA ilikuwa kidooogo inaeleweka eleweka ingawa bado kulikuwa na majinga yanayopenda kupiga mayowe ya kutafuta Kiki, hata hivyo wananchi walishayasoma michezo yao yote na mistakabali wa Taifa letu.
Lissu akaja na kuwapiku wote waliokuwa wanaomba Urais wakina Nyalandu, Msigwa, Mbowe. Anajifanya yeye ndiye mzoefu na mjuzi wa siasa za wakati huu za namna ya kupambana na Magufuli..
Haya kampeni zimefanyika na uchaguzi ukafanyika, Lissu ameshindwa na CHADEMA imeambulia mbunge mmoja nchi nzima.
Lissu amekuja na gundu la ajabu ambalo atalisikitikia maishani mwake. Lakini Mbowe nae alishindwa kuongoza chama mpaka chama kinamfia mikononi.
Haya Lissu ndio huyo kashasepa ametelekeza cheo chake Cha Makamu Mwenyekiti na Mambo yote ya CHADEMA..ametelekeza wanachama.
Inasikitisha sana sasa wanachama wamkimbilie nani?. Mbowe na team yake waelekee wapi?. Hapo ndipo nakuja kujiuliza Lissuu ni asset au liability?.
Tujadili kwa kuwaonea huruma hawa jamaa, wananchi wamewaadhibu sana lakini watajifunza kuwajua hasa watanzania wanataka nini sio makelele yao yasiyokuwa na tija.
Wananchi wanataka maendeleo ya kweli sio sanaa zao.
Nawasilisha