Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu kwa neema ya uhai na afya njema. Pili niwashukuru wananchi wenzangu wa Zanzibar kwa subira kubwa baada mazito kupita...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Makamanda wamechanganyikiwa. Hawajui kama wanaenda au wanakuja. Sasa sikilizeni nyie makamanda [ingawa najua hamna uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kutumia akili, lakini jitahidini kuelewa]. Ni...
15 Reactions
59 Replies
4K Views
There’s a saying that goes like: Once is chance, twice is coincidence, third time is pattern. Nimeanza na angalizo hapo juu ili kuwasaidia wale ambao watadhani andiko langu ni kama ramli bila...
22 Reactions
231 Replies
21K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema Bunge la 12 litahakikisha linashughulikia agenda za watoto na vijana ili kusaidia Serikali kufikia malengo endelevu ya dunia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze kwa kusema utabiri wangu utajikita zaidi kwenye hali yakisiasa na uchumi ila ikiwa tu serikali yangu haito badili sera za uchumi kwa walizo kuw nazo ktk mwaka 2020. Ajira niwazi kuwa kwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mataga nimeona wanajikita kuwa EU ijue Tanzania ni nchi huru. Na wamekuwa, hasa Rais wao akisema hakuna uhuru usio na mipaka inapokuja kuwabana wapinzani/wanaharakati wa kupinga ukiukwaji wa haki...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu siasa za Tanzania tangu miaka ya tisini. Baada ya uchaguzi wa mwaka huu,nimeamua kukubali kuwa CCM hakitakaa kiondoke madarakani kwa njia yoyote ile unayoijua wewe...
18 Reactions
419 Replies
45K Views
Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji...
9 Reactions
90 Replies
8K Views
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina...
20 Reactions
88 Replies
9K Views
Nilikua nikifuatilia kampeni za nafasi ya Urais kwa Vyama vya CCM na Chadema kwa ukaribu sana. Wagombea wa vyama hivyo viwili sote tunawafahamu. Sote tunafahamu kwamba kwa Utamaduni tuliojiwekea...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Karibu Shujaa Tundu Antipas Lissu! Tanzania imekuona, Tanzania imeamka. Tanzania imeshtuka kutoka usingizini. Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Ni dhahiri kuwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi niliona makala moja katika mtandao wa BBC ikisema " Katika nchi zilizoendelea watu wasio na elimu ndiyo wenye vitambi lakini katika nchi zetu za kiafrika wasomi ndiyo wenye vitambi"...
6 Reactions
4 Replies
901 Views
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais. Nanukuu "Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"...
26 Reactions
292 Replies
25K Views
Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nchi ya Tanzania ni muhimu sana katika bara la Africa, ni nchi iliyobeba dhamana kubwa sana katika ulinzi na usalama kwa bara Afrika Na ni nchi mbili tu barani Afrika ambazo zimekaa eneo la...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
"Uchaguzi" umekwisha. Ahadi ni deni. Watu tumesha uza nyumba na kakata passport tayari kwa safari ya Marekani tuwahi sherehe ya kuapishwa rais mpya wa nchi hiyo. Mshindi wa ubunge jimboni kwetu...
2 Reactions
6 Replies
834 Views
Hivi ni kweli watani zetu wa jadi mmeshindwa kuwa na vipaumbele,vipaumbele vimebaki vile wanavotamka kila robert na lissu! Kwanini mnapenda kuongozwa na mihemko hivi ni kweli kama wanavyowaita...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaji Sinde Warioba (Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania) amesema Tasnia ya Habari kwa sasa imekua sana lakini hana uhakika kama imekomaa kiasi cha kutosha kutoa habari za kila aina kwa Wananchi...
18 Reactions
66 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…