Bunge la Ulaya lapiga kura kukataa ubaguzi na ukandamizwaji wa watu weusi duniani

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa kupiga kura ya Hapana (No-N) na nyingine kutopiga kura (Abstain -A).

Zoezi hilo limefanyika katika mkutano wa 75 wa UN General Assembly Sept-Okt. 2020. Matokeo haya yanatoa taswria ya kwamba ubaguzi wa rangi ni sera ya mataifa yote makubwa duniani kuwakandamiza hasa watu weusi. Food for thought!
 
Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa kupiga kura ya Hapana (No-N) na nyingine kutopiga kura (Abstain -A). Zoezi hilo limefanyika katika mkutano wa 75 wa UN General Assembly Sept-Okt. 2020. Matokeo haya yanatoa taswria ya kwamba ubaguzi wa rangi ni sera ya mataifa yote makubwa duniani kuwakandamiza hasa watu weusi. Food for thought!
Sisi tunajibagua wenyewe kwa matendo yetu mabovu
 
Tirampo anasemaje yeye
 
Siku Afrika mashariki na kati ikijikomboa na kuungana, mataifa ya Ulaya yote yatapiga magoti na kulazimisha "DUNIA MOJA SERIKALI MOJA". Hiyo hapo juu ni mwanzo tu. 2038 is loading...

MAGUFULI4LIFE.
 
Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa kupiga kura ya Hapana (No-N) na nyingine kutopiga kura (Abstain -A). Zoezi hilo limefanyika katika mkutano wa 75 wa UN General Assembly Sept-Okt. 2020. Matokeo haya yanatoa taswria ya kwamba ubaguzi wa rangi ni sera ya mataifa yote makubwa duniani kuwakandamiza hasa watu weusi. Food for thought!
Kuna Watu walikuwa wakitamani mno hii taarifa iwe hasa kwa Tanzania ili waifurahie na leo Siku nzima waiseme Serikali ya JPM na wana CCM pia.
 
Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa kupiga kura ya Hapana (No-N) na nyingine kutopiga kura (Abstain -A). Zoezi hilo limefanyika katika mkutano wa 75 wa UN General Assembly Sept-Okt. 2020. Matokeo haya yanatoa taswria ya kwamba ubaguzi wa rangi ni sera ya mataifa yote makubwa duniani kuwakandamiza hasa watu weusi. Food for thought!
Asanteeee Mungu watanzania tuna magufuli
 
Tukijua details zaidi kuhusu azimio hilo ndo tunaweza kujua, japo kwa kiasi, kwanini mataifa ya EU yamelikataa!
 
Tatizo wanasiasa wa upinzani Tanzania ni VIBARAKA wa wazungu hawakomi tu. Tundu Lissu Kuna taarifa kafukuzwa kwenye nyumba ya awali lakini Chadema hawawezi kuja na kulikngelea hilo
 
Chadema wanasemaje hawajatoa tamko
.
IMG_20201114_085313_044.jpg
 
Back
Top Bottom