GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Members,
Angalieni ndege, wanyama angani wanakula na kunywa lakini hawalimi wala hawapandi. Hawa ndege wanaruka tu angani hawategemei msaada wowote.
Tusiwaogope hawa mabeberu hawana jipya. Corona tu imewashinda.
Yule mwenyekiti wa kamati kwenye Bunge la Ulaya la kuijadili Tanzania sio mzalendo ni Beberu kama mabeberu mengine, anaanzaje kuulizia pesa za misaada ya corona.
Ni dhahiri shairi Maisha yetu yameboreka zaidi na kwa kasi tangu mwaka 2014 mpaka sasa 2020. Vipimo vya Benki ya dunia Tanzania tupo uchumi wa Kati wa chini. Sisi sio nchi fukara au ombaomba tena.
Wazungu kabla hawajafika Afrika tulikuwa tunajitegemea kwa kila kitu mavazi, chakula na madawa yetu wenyewe, hatukuwahi kuomba msaada wala Babu zangu na Babu zetu hawakuwahi kuomba msaada wa madawa au barabara na waliishi vizuri.
Mabeberu baada ya kuvamia Tanzania wakapandikiza mambo yao ya magonjwa yasio na tiba Tanzania, wakanyunyuzia mimea yetu kemikali na kusababisha mabadiliko makubwa ya uoto wa asili.
Leo hii umoja wa ulaya wanatutisha hawatatupa pesa. Pesa yenyewe ni pesa ya mboga tu haina msaada wowote, tuache wakae na makaratasi yao.
Ni muda muafaka wa sisi kuvimba na kuwavimbishia na kukataa misaada yao. Tangu tupate uhuru hii misaada haijatusaidi kitu zaidi ya kutuachia kero ya madeni yasiyolipika.
Aidha Serikali ichukue hatua kuwaonya Umoja wa ulaya na Marekani wasitutishe na kutufuatafuata wapambane na corona.
Sisi kama wana CCM hatuungu mkono utegemezi kabisa. Rais JPM alishaanza kututoa huko kwenye kutegemea hao mabeberu.
Cha kushangaza mabeberu wameahidi kusaidia Chadema na kundi lao eti wanalao jambo.
Viva CCM! Viva viva!
Tunasonga mbele kwa kishindo