Baada ya kuharibu mahusiano ya ndani, Kabudi anakwenda kuzidisha migogoro na mataifa ya nje.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
Kimataifa zaidi.

Kabudi kafeli karibu kwa kila kitu, anakabidhiwa majukumu makubwa ya kurudisha heshima ya nchi yetu kwa jumuiya za kimataifa, majukumu yanayohitaji mtu aliye na msimamo, a principled person, anayesimamia ukweli, asiye kurupuka, mtu mwenye uwezo wa control emotions na temper, Kabudi hana hizo sifa, si mkweli, ana jaziba, tutegemee nini kwa Prof. Kabudi kama siyo kuharibu zaidi.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya vyama vya siasa ambayo inakwenda kuongeza ufa katika jamii.

Kasimamia mazungumzo yasiyo na faida ya makinikia kiasi kwamba hadi sasa hatima yake haijulikani.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya mashirika ya mifuko ya kijamii kuhusu kikokotoo hadi rais alipoingilia kati.

Kasaini mkataba na kampuni hewa ya Kenya kuhusu ununuzi wa korosho hadi sasa hatima yake haijulikani.

Kwa kipindi chake kama msimamizi mkuu wa wizara ya sheria tumeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa katiba na sheria za haki za binadamu.

A principled person is someone who acts with integrity and honesty, with a strong sense of fairness, justice and respect for the dignity of the individual, groups and communities.
 
HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,881
2,000
Kimataifa zaidi.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya vyama vya siasa ambayo inakwenda kuongeza ufa katika jamii.

Kasimamia mazungumzo yasiyo na faida ya makinikia kiasi kwamba hadi sasa haijulikani hatima yake.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya mashirika ya mifuko ya kijamii kuhusu kikokotoo hadi rais alipoingilia kati.

Kasaini mkataba na kampuni hewa ya Kenya kuhusu ununuzi wa korosho hadi sasa haijulikani hatima yake.

Kwa kipindi chake kama msimamizi mkuu wa wizara ya sheria tumeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa katiba na sheria za haki za binadamu.

Mtu kama huyu aliyefeli karibu kwa kila kitu unamkabidhi majukumu makubwa ya kurudisha mahusiano ya nchi yetu na jumuiya za kimataifa yaliyotetereka, majukumu yanayohitaji mtu aliye na msimamo a principled person, anayesimamia ukweli, asiye kurupuka, mtu mwenye uwezo wa control emotions na temper, tutegemee nini kwa Prof. Kabudi kama siyo kuharibu zaidi.

A principled person is someone who acts with integrity and honesty, with a strong sense of fairness, justice and respect for the dignity of the individual, groups and communities.

Kabla ya kurukia kwa Prof. Kabudi, kaeni chini mkubaliane mnaelekea Kigoma au Canan, maana huko mtaa wa Ufipa kila mtu anaongea lwake.

Haya ya Kabudi ni juu sana mdau.
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,075
2,000
Kimataifa zaidi.

Kabudi kafeli karibu kwa kila kitu, anakabidhiwa majukumu makubwa ya kurudisha heshima ya nchi yetu kwa jumuiya za kimataifa, majukumu yanayohitaji mtu aliye na msimamo Kabudi hana, a principled person, anayesimamia ukweli, asiye kurupuka, mtu mwenye uwezo wa control emotions na temper Kabudi anatawaliwa na emotions, tutegemee nini kwa Prof. Kabudi kama siyo kuharibu zaidi.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya vyama vya siasa ambayo inakwenda kuongeza ufa katika jamii.

Kasimamia mazungumzo yasiyo na faida ya makinikia kiasi kwamba hadi sasa hatima yake haijulikani.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya mashirika ya mifuko ya kijamii kuhusu kikokotoo hadi rais alipoingilia kati.

Kasaini mkataba na kampuni hewa ya Kenya kuhusu ununuzi wa korosho hadi sasa hatima yake haijulikani.

Kwa kipindi chake kama msimamizi mkuu wa wizara ya sheria tumeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa katiba na sheria za haki za binadamu.

A principled person is someone who acts with integrity and honesty, with a strong sense of fairness, justice and respect for the dignity of the individual, groups and communities.
Disaster to disaster

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,297
2,000
Swali la kujiuliza ni kwanini Raisi Magufuli amemtoa mtu mzoefu wa mahusiano ya kimataifa na kumuweka mtu ambaye hana uzoefu na siasa za kimataifa. Tena kwanini amuweke kwenye kipindi ambacho siasa za dunia yetu zimebadilika kwa kasi sana.
mkuu umesahau jambo muhimu sana , Magufuli yupo ikulu kwa lengo la kupambana na Chadema tu , mengine anayoyafanya ni mengineyo tu , Kabudi kateuliwa ili akajaribu kupambana na Lissu na amepewa mwongozo huo , lakini tunao uhakika kwamba Kabudi hamuwezi Lissu , Hotuba ya Lissu ndani ya baraza la Congress itakayofanywa april imevuruga serikali ya Tanzania kwa kiwango cha kutisha mno !
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,947

Ndiyo maana nikasema hapa tuwe objective na tuangalia vitu kama The Rationale and Timing of the appointment.
Kwenye Rationale: Je, huo uteuzi una manufaa gani mapana kwa taifa au ni manufaa ya kikundi fulani tu cha watu ? Kama una manufaa mapana kwa taifa basi ni yapi ili wananchi kama ndugu yanguQuinine ambao wana mashaka na huu uteuzi wayajue.

Upande wa pili Timing: Je, huu ni wakati sahihi kwa kumteua Prof Kabudi kuongoza wizara nyeti kama hiyo ambapo siasa za dunia zimekuwa na changamoto sana na zinahitaji mtu mzoefu kuweza kuzielewa. Labda Raisi wetu na wahsauri wake wanaona kwamba huu ni wakati sahihi kabisa kwa Waziri Kabudi kuchukua nafasi ya Balozi Mahiga na kuwa in Msimamizi Mkuu wa Sera ya Mambo ya nje ya Tanzania na utekelezaji wake kupitia Balozi zetu na taasisi binafsi ndani na nje ya mipaka yetu.

Labda tuwaulize ndugu zetu wenye utalaamu wakina TUJITEGEMEE , Sophist , Patriot , Chamoto , Richard , Phillipo Bukililo , YEHODAYA , MTAZAMO , Pascal Mayalla kama huu ni uamuzi sahihi kwa taifa tena kama una tija kwa wakati kama huu.
 
kwakina itafakari

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
274
250
mkuu umesahau jambo muhimu sana , Magufuli yupo ikulu kwa lengo la kupambana na Chadema tu , mengine anayoyafanya ni mengineyo tu , Kabudi kateuliwa ili akajaribu kupambana na Lissu na amepewa mwongozo huo , lakini tunao uhakika kwamba Kabudi hamuwezi Lissu , Hotuba ya Lissu ndani ya baraza la Congress itakayofanywa april imevuruga serikali ya Tanzania kwa kiwango cha kutisha mno !

Kwa mliyokuwa mnayasema humu baada ya lissu kuongea na CCN pamoja na VOA,me nikadhani kwamba Serikali ya Tanzani imeshashavurugwa na kuvuliwa nguo zote,kumbe bado iinasubiriwa mpaka hotuba yake ndani ya baraza la Congress mwezi ujao?basi ngoja tusubiri.
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,121
2,000
Kabla ya kurukia kwa Prof. Kabudi, kaeni chini mkubaliane mnaelekea Kigoma au Canan, maana huko mtaa wa Ufipa kila mtu anaongea lwake.

Haya ya Kabudi ni juu sana mdau.
Afterall hawa jama ni ndezi ile mbaya wanaishi kwa kukariri,hakuna binadamu alizaliwa kuwa waziri wa mambo ya nje,kila sehemu ya serikali ina keys performance,Kabudi atazifuata kufikia malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,509
2,000
Kabla ya kurukia kwa Prof. Kabudi, kaeni chini mkubaliane mnaelekea Kigoma au Canan, maana huko mtaa wa Ufipa kila mtu anaongea lwake.

Haya ya Kabudi ni juu sana mdau.
Kwanini unadhani kila anaehoji maamuzi ya serikali autCCM ni Mfuasi au Mwanachama wa vyama vya upinzani ?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,012
2,000
Kalamaganda kubuudi naona siku zake za kutembelea shangingi la serikali sasa zinahesabika
Kimataifa zaidi.

Kabudi kafeli karibu kwa kila kitu, anakabidhiwa majukumu makubwa ya kurudisha heshima ya nchi yetu kwa jumuiya za kimataifa, majukumu yanayohitaji mtu aliye na msimamo Kabudi hana, a principled person, anayesimamia ukweli, asiye kurupuka, mtu mwenye uwezo wa control emotions na temper Kabudi anatawaliwa na emotions, tutegemee nini kwa Prof. Kabudi kama siyo kuharibu zaidi.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya vyama vya siasa ambayo inakwenda kuongeza ufa katika jamii.

Kasimamia mazungumzo yasiyo na faida ya makinikia kiasi kwamba hadi sasa hatima yake haijulikani.

Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya mashirika ya mifuko ya kijamii kuhusu kikokotoo hadi rais alipoingilia kati.

Kasaini mkataba na kampuni hewa ya Kenya kuhusu ununuzi wa korosho hadi sasa hatima yake haijulikani.

Kwa kipindi chake kama msimamizi mkuu wa wizara ya sheria tumeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa katiba na sheria za haki za binadamu.

A principled person is someone who acts with integrity and honesty, with a strong sense of fairness, justice and respect for the dignity of the individual, groups and communities.

In God we Trust
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom