CCM baada ya kufanya rafu zao walikula mpaka mbegu sasa wanalazimisha wabunge kwa nguvu

SOPINTO

Senior Member
Oct 19, 2020
155
385
Ukiangalia na ukimsikiliza spika ni kama vile mtu anaongea jambo kama mtu anaenda kuposa kwa mwanamke hasiye mjua, chama cha CHADEMA kina wanachama wake , viongozi wake, sera zake , miongozo yake , kanuni zake pamoja na katiba yake , hivyo jambo lolote linalofanyika kwa Chama linafuata hizo njia. Wakati CCM wanafanya rafu juu ya kura za uchaguzi walijisahau kuwa tunachofanya tunakula mpaka mbegu na Mungu alivyo hakuna hata mmoja aliyekumbuka kuwa tunachokifanya ni sawa na kujichinja wenyewe.

Baada ya kufanya ufedhuri na kumaliza na kila mmoja akiwa anajilamba kwa utamu walioufanya mara ghafla anatokea mtu anawakumbusha kuwa tumekula mpaka mbegu sasa tunafanyaje? Ndio hapo anatokea mtu bila hata aibu anasema tumepata majina ya viti maalum kutoka CHADEMA baada ya kuulizwa ghafla anakana na kusema sijapata majina yoyote kutoka CHADEMA.

Wakati Bunge linaendelea kutafakari ghafla hii ni kimya kimya wabunge wa majina yaleyale wanaapishwa yani kwa mtu mwenye kufikiri unaona jinsi ujinga unavyofanyika , hii yote tunasema mtu ambaye sio makini siku zote upumbavu wake utamuumbua tena mchana kweupe.

Hivi karibuni CCM ilifukuza wanachama wake akiwepo Benad Membe na kwa sababu CCM ni chama kinachojitegea CHADEMA hawakusema lolote.

Swali la kujiuliza inakuwaje Bunge na Chama chake wanalazimisha wabunge ambao chama kimewakataa ??? au Bunge linajua fika kuwa zile hela za mabeberu watazikosa kutokana na kamati fulani kukosa wenyeviti kutoka upinzania ? Spika ni vyema ajue kuwa dunia ya leo hakuna mjinga kama anavyofikiri yeye , kosa alilofanya ni kwa sababu ya ujinga wake ... hii imekula kwako na chama chako ....

NIRUDI KWA HALIMA MDEE NA WAJINGA WENZAKE.
Ata kwenye vitabu kitakatifu imeandikwa kuwa MWANAMKE MJINGA UVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE Ukisikia wanawake wapumbavu wa mwaka ndio hawa, yani uchaguzi umefanyka mwezi uliopita yani wanawake hawa wameshindwa kuvumilia ndani ya mwezi mmoja tu toka walipokosa Ubunge , kweli adui yako muombee njaa , sasa nyie hapo Bungeni mnamuwakilisha nani kama sio vipoozeo vya watu tu , yani funika funua ... vaa chup, vua chup hakuna kingine.

CHADEMA.

Chadema fanyeni utaratibu wa kuondoa hizi sumu kama wamefanya ujinga wao kwa kukiuka kanuni za chama na bado wanag'ang'ania chamani kuwa ni wabunge wa chama , fanyeni utaratibu mwingine wa kijasusi mana wanaharibu taswira ya chama.
 
Ni aibu Sana, Leo CCM wanawalilia wabunge wa upinzani.Wakati wa kampeni waliwaita magunzi na kuwaambia kwamba hawatakiwi bungeni ni wapinga maendeleo.Leo ndugai anawataka wapinga maendeleo bungeni hata bila kuwa na vyama kinyume Cha katiba .
 
Ni aibu Sana, Leo ccm wanawalilia wabunge wa upinzani.Wakati wa kampeni waliwaita magunzi na kuwaambia kwamba hawatakiwi bungeni ni wapinga maendeleo.Leo ndugai anawataka wapinga maendeleo bungeni hata bila kuwa na vyama kinyume Cha katiba .
Ni ujinga tu , CCM hakuna mwenye kufikiri wakati wa uchaguzi waliiba kura zote bila kujua what next , wakifikiri kuwa na wabunge wote wa CCM ndio solution , huyuhuyu mjinga Halima aliyekuwa mbunge wa kawe aliona kilichotokea eti leo anamuamini spika , Polepole na Bashiru na wale wananchi waliompigania wakati wa kupiga kura anawaona wapumbavu , Spika na chama wanacholazimisha ni juu ya hizi kamati kukosa wenyeviti na akidi ya wajumbe ...
 
Sasa ni muda muafaka wa kuhoji ile PhD aloihoji Ben wa Rombo na hatimaye akatoweka ghafla
 
Wakati Lipumba wao,alipowafukuza uanachama wabunge wa viti maalumu,Ndugai alitangaza ndani ya masaa 24 kuto watambua wale wabunge,licha ya wale kina mama kwenda kupingwa na kuweka zuio mahakamani,
Ndugai hakutaka hata kuwasikiliza,au kwa sababu Lipumba alikuwa kwenye mfumo wao?
Walikuwa wanamkomoa Sharif Hamadi?
 
Back
Top Bottom