Je, ni kweli wanaikomoa CHADEMA? Au kuna watu/ kundi la watu wameamua kulikomoa kupitia CHADEMA?

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
248
250
Nionavyo nyuma ya pazia kuna mambo magumu sana..Kuna kila dalili kuna kundi la watu aidha liko CCM au nje ya CCM ndio hukomelewa kwa maksudi kupitia CHADEMA.

Hivyo kufanywa hivyo mpaka kuamua kusigina katiba ya nchi nje nje mlengwa wala sio chadema kama Chama cha Siasa.

Wapo walengwa wake ambao sisi wengi wetu hatuwajui. CHADEMA inatumika kama ni silaha kama silaha zingine mf bunduki,kisu n.k ambayo dola na kundi tusilolijua kila mmoja anaiwahi silaha hii,kwa ajili ya kumuangamizia mwenzake..

Usistaajabu nguvu ya dola kulinda chadema(kama silaha hatari dhidi yake dhidi ya adui yake asiipate na wala asiitumie) na kuitumia CHADEMA (kama silaha) dhidi ya adui yake.

Suala hili huwezi kulikuta kwa Museveni wa kwa Kagame hta madikteta wenye ukatili hawawezi kufanya siasa hii.

Lipo suala kubwa tu na ipo siku litakuwa wazi. Dola inataka kuonyesha kwamba hii nchi huru na hakuna mtu anayeweza kuingilia hata kama kuna vipengele vya katiba vimevunjwa. Wala haitishwi wala kuogopa yoyote yule
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,329
2,000
Nchi kwa sasa ni mali ya watu wawili tu (Ndugai na Mwenyekiti wake)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom