TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu...
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version...
Na, Malisa GJ
Press ya Halima imeongeza maswali mengi kuliko majibu. Amezungumza vitu vingi lakini "theme" ya press yake haieleweki. Hata yeye ukimuuliza "theme" ya Press yako ilikua nini hawezi...
Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba...
Ili hizo Mamlaka ndogo ziheshimike muda huu hata baada ya 2025, inabidi zianze kutekeleza majukumu yake kwa kufuata katiba ya nchi, sheria na kanuni na taratibu zilizojiwekea. Ni marufuku sasa...
Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna...
Nianze kwa kukiri kwamba nilifurahishwa kiasi kumuona Halima akitueleza vile mama yake alivyompa neno la faraja kutoka kitabu cha zaburi 35 katika masaibu yake.
Ni tabia njema upande m moja...
Dar es Salaam. ACT-Wazalendo led by its national chairman Seif Sharif Hamad and secretary general Ado Shaibu have sued the government at the African Court on Human and Peoples’ Rights for alleged...
Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.
Malisa GJ
Mosi, Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili...
Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu!
Viongoi wetu...
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa...
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.
Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu...
Ndugu zangu watanzania awali ya yote nimshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupa pumzi kama Taifa Leo tupo hakika ni utukufu kwake.
Awali ya yote niwausie na kuwashauri vijana wa SASA...
Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza...
CCM IWAACHIE WANA-CUF INAOWASHIKILIA LIWALE NA KUWABAMBIKA KESI NGUMU
CCM inajua kwamba haikushinda Uchaguzi Jimbo la Liwale na kwenye kata nyingi za Jimbo hilo. CCM ilitumia Vyombo vya dola...
Binafsi naomba nisikubalieni na wewe (ACT kukukubali kujiunga SUK) kwa sababu zifuatazo. Imeandikwa na Abdulrahman A. Mohamed. Huu ni uchaguzi wa tano, na kwa msimamo wa CUF/ACT miaka yote CCM...
Mamlaka zote duniani zinazofinya haki, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kujumuika, demokrasia, nk hufanya mambo yanayofana kama vile: kutumia Majeshi na Idara za Usalama kuwadhibiti, kuwatisha na hata...
Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua.
Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi
"Orodha ya majina ya wagombea wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.