CHADEMA vunjeni mfumo wenu wote wa Uongozi muanze upya "Mapenzi na Kazi ni Msiba"

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,308
2,000
Wana Ukumbi.

Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao.

Hili sakata la CHADEMA liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya mahusiano na kazi, karibia viongozi wote wa CHADEMA wana mahusiano na hawa Wabunge inakuwa ngumu kufanya maamuzi tofauti na zamani tunavyo wafahamu viongozi wa CHADEMA jinsi walivyowafukuza kina Zitto Kabwe, Kitilia, Kafulila, na wengine nakumbuka kuna mwanachama mmoja alipigwa tofali kwa usaliti.

Msipofanya maamuzi magumu kwa kuhofia mtapoteza wapenzi wenu basi mtakuwa kambi moja na TLP, NCCR Mageuzi.

Inaonekama Mnyika ndiyo hana mahusiano na hao wabunge cha kushangaza mpaka Sugu, anasema hawezi kuongea chochote.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,220
2,000
Wana Ukumbi.

Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya Chadema, wafuasi wa Chadema hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao.

Hili sakata la Chadema liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya mahusiano na kazi, karibia viongozi wote wa Chadema wana mahusiano na hawa wabunge inakuwa ngumu kufanya maamuzi tofauti na zamani tunavyo wafahamu viongozi wa Chadema jinsi walivyowafukuza kina Zitto Kabwe, Kitilia, Kafulila, na wengine nakumbuka kuna mwanachama mmoja alipigwa tofali kwa usaliti.

Msipofanya maamuzi magumu kwa kuhofia mtapoteza wapenzi wenu basi mtakuwa kambi moja na TLP, NCCR Mageuzi.

Inaonekama Mnyika ndiyo hana mahusiano na hao wabunge cha kushangaza mpaka Sugu, anasema hawezi kuongea chochote.
stop speculations, nan anampenda nani?
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,710
2,000
Mi nauliza leo kikao kilikuwepo ama hakikuwepo ? Na kama kilikuwepo kuna maamuz yap yametoka...?? Mpak sasa Mbowe,Mdee , JPM na Ndugai wanakula sahani moja , Lissu ana chuki na JMP sababu ya zile multiple shots.....
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Swali ni kwamba Mbowe, Tundu & Co. hawakujua chochote mpaka hawa akina Mdee wakafikia hatua ya kwenda kuapishwa ? isitoshe Tume ya uchaguzi sidhani kama ina uwezo wa kulazimisha Chama xyz kutuma majina kama yale majina hayakutumwa na chadema kwa nini kama Chama wasishitaki ? Mimi siyo Mwanasheria ila natumia logic tu, mnawezaje kumtoa Mbowe na Tundu Lisu kwenye hili, mnabaki kulaumu tu wengine, fish rots from the head down, wanasema, ...
 
Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
987
1,000
Magufuli kashaiweka ccm yote mikonon mwake police tiss jeshi la wananchi magereza nec hivi vyombo kavikamata havifulukuti na vyombo vya habar vyote kwa kuwalipa mishahara mikubwa maafisa wa ngazi ya juu kila idara hadi maakama kama ilivyokuwa mwaka 1972 iddi amini alivyokula nyama ya jaji baada ya kumuachia huru mwandishi wa habari aliamuru amuuhukumu kumnyonga badala yake jaji alikaidi kwa kuchukiwa kuonewa mwishowe alifuatwa na police mchana kweupe na kuuliwa kisha iddi kula hiyo nyama sasa magufuli anavuka mipaka anataka kuitawala na chadema onyo letu kwa viongoz hatutakubali kuwa wakimbizi wa act wala cuf mkishindwa kukilinda chama mjiuzuru mapema tujue la kufanya.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,308
2,000
Swali ni kwamba Mbowe & Co. hawakujua chochote mpaka hawa akina Mdee wakafikia hatua ya kwenda kuapishwa ? isitoshe Tume ya uchaguz
Leo watafukuzwa lakini kwa sababu Mnyika, Lissu, wanakomaa.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Leo watafukuzwa lakini kwa sababu Mnyika, Lissu, wanakomaa.

Tundu Lisu ni sehemu ya drama yote, Tundu Lisu na Mbowe wanajua kila kitu A-Z, na wao ndiyo walioratibu hii move, wanawachanganya tu ili mchanganyikiwe waendelee kuwatawala, ...
 
Koffi Yardley

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
553
500
Wana Ukumbi.

Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya Chadema, wafuasi wa Chadema hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao.

Hili sakata la Chadema liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya mahusiano na kazi, karibia viongozi wote wa Chadema wana mahusiano na hawa wabunge inakuwa ngumu kufanya maamuzi tofauti na zamani tunavyo wafahamu viongozi wa Chadema jinsi walivyowafukuza kina Zitto Kabwe, Kitilia, Kafulila, na wengine nakumbuka kuna mwanachama mmoja alipigwa tofali kwa usaliti.

Msipofanya maamuzi magumu kwa kuhofia mtapoteza wapenzi wenu basi mtakuwa kambi moja na TLP, NCCR Mageuzi.

Inaonekama Mnyika ndiyo hana mahusiano na hao wabunge cha kushangaza mpaka Sugu, anasema hawezi kuongea chochote.

... and there is a new couple in town.
 
Mr Dudumizi

Senior Member
Sep 9, 2020
113
250

Naona unamchokoza mwenye kigoda. Kwa taarifa yako yeye ndio mwenyechama kwa sasa kwahiyo anamtafuna amtakae na kufanya chochote atakacho ndan ya chama. Huyo Mnyika analalamikia mbele ya vyombo vya habar lkn akiwa na mwenyekigoda fac2fac hawezi kufungua kinywa chake kuongea lolote kinyume na alipangalo mwenyekigoda
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,642
2,000
Wana Ukumbi.

Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya Chadema, wafuasi wa Chadema hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao.

Hili sakata la Chadema liwe funzo kwa vyama vingine vya siasa kikubwa kinachoitafuna Chadema kwenye sakata la wabunge 19 viti maalumu ni kuchanganya mahusiano na kazi, karibia viongozi wote wa Chadema wana mahusiano na hawa wabunge inakuwa ngumu kufanya maamuzi tofauti na zamani tunavyo wafahamu viongozi wa Chadema jinsi walivyowafukuza kina Zitto Kabwe, Kitilia, Kafulila, na wengine nakumbuka kuna mwanachama mmoja alipigwa tofali kwa usaliti.

Msipofanya maamuzi magumu kwa kuhofia mtapoteza wapenzi wenu basi mtakuwa kambi moja na TLP, NCCR Mageuzi.

Inaonekama Mnyika ndiyo hana mahusiano na hao wabunge cha kushangaza mpaka Sugu, anasema hawezi kuongea chochote.
Bwashee habari za siku tele?
 
Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
1,112

Dah zombie boy umeibuka tena. Tangu kuzuiliwa kuingiza makontena bila kulipa kodi eti ulisusa hadi JF.

Hadi Jiwe unamchukia
 
Mr Slim

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
453
1,000
Swali ni kwamba Mbowe, Tundu & Co. hawakujua chochote mpaka hawa akina Mdee wakafikia hatua ya kwenda kuapishwa ? isitoshe Tume ya uchaguzi sidhani kama ina uwezo wa kulazimisha Chama xyz kutuma majina kama yale majina hayakutumwa na chadema kwa nini kama Chama wasishitaki ? Mimi siyo Mwanasheria ila natumia logic tu, mnawezaje kumtoa Mbowe na Tundu Lisu kwenye hili, mnabaki kulaumu tu wengine, fish rots from the head down, wanasema, ...
Nimeshangaa sana,watu 19 wanaji organise mpaka kufika Dodoma Kuapa, chama/Viongozi walikua hawajui!?
Basi intelejesia ya chama ni poor sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom