Hivi ndivyo Wabunge 8 Viti Maalum CUF walivyopatikana

hii video ya lini? ni ya Jul 31, 2017 au ni lini? hawa magumashi wa NEC nia yao inajulikana ambayo ni kumsaport mkoloni mtawala mweusi kubaki madarakani...siku wenye nchi wakiamua liwalo na liwe ndio watakumbuka kutubu, lakini itakuwa too late... itakuwa ni kipondo tu (Cha mbwa mwizi kama wavavyopenda kusema wenyewe au projection ya nini kitakachowatokea huko mbeleni) kwa kila kibaka aliyeshiriki wizi kwa namna moja au nyingine...
 
Huyo ndiyo Ndugai. Mwaka 2017 anawavua ubunge waliokuwa kambi ya Maalim baada ya kuvuliwa uanachama na kambi ya Lipumba. Leo anatangaza kuwalinda wabunge waliovuliwa uanachama na CHADEMA. Double standards
 
Kwani Chadema wameshapeleka taarifa NEC ya kuwavua uanachama?? CUF walipeleka taarifa NEC sasa wanasaccos wenyewe wanalialia tu kwenye mitandao ya kijamii. Poleni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom