Mzimu wa Hayati Baba wa Taifa ukifufuka kila mtu ataingia chini ya uvungu

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,200
Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake.

Kutokana na vile aliona mengi Mwalimu aliona miaka miamoja ya Taifa hili hivyo aliweka mikakati yakuhakikisha hatukosei na ndani ya chama pamoja na TISS aliunda kikoSi KAZI ambacho uwenda kilikuwa na nguvu Sana mpaka akiwa nje ya madaraka macho yalikuwa kwake.

Labda hatujuwi Ma Rais wa staafu huwa ni sehemu ya serikali na wananguvu japo hatuzioni. Hayati Baba wa Taifa aliona mbali na uwenda aliona huu wakati tunapita leo.

Kwa Kuwa hakuwa binadamu wa kawaida uwenda aweza Kuwa bundi anayelia masikioni mwa makachero na viongoz wakuu wakitaifa Ambao walikuwa naye.

Hiki kinaendelea kwenye siasa Sio kitu kigeni na uwenda hakina viashiria vizuri hasa kutokana na chama CCM kipo kimya na hata wasomi wakubwa MTU kama Prof Shivji wote wamefumba midomo hii sio kiashiria kizuri.

Mwalimu Alisha wahusia hawa wazee na uwenda wamekaa pembeni wanasubiri mzimu wa Nyerere ufufuke na niukweli usio pingika Mzimu wa Hayati Baba Wa Taifa ukifufuka kila MTU ataingia chini ya uvungu.

Embu jiulize kinga yakutoshitakiwa Jaji Mkuu na Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ina maana gani?

Mihimili mnayo igusa nakuipa kinga itawafufua walio lala na inazidi kuleta maswal mengi yasio namajibu.

Nashauri someni vyema maagizo na ushauri wa wazee wa Taifa hili msije mkafurahisha watu.

Upo msemo unasema ukipenda kushangiliwa Sana basi pia ukubali kuzomewa. Asante
 
Embu jiulize kinga yakutoshitakiwa Jaji Mkuu na Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ina maana gani?
Kwanza jiulize kinga ya kushitakiwa raisi na kumbuka na hata huyo baba wa taifa kafa nayo hiyo kinga ya kushitakiwa.
 
Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake...
Mkuu unamzungumzia vizuri sana Mwalimu Nyerere, lakini mzimu unaouzungumzia uliisharudi na kumshughulikia Lissu! Si unajua Lissu anavyompondaga Mwl. Nyerere?

Halafu eti bila Ainu anakuja kugombea Urais wa Tanzania! Yaani eti aishi ndani ya Ikulu aliyokaa yeye Mwalimu miaka 23! Mzimu wa Mwl. Nyerere ulimshughulikiaje?
 
JPM yuko interested na "utawala wa yeye kama yeye" na si Tanzania ya miaka 30 ijayo kwenye masuala ya utawala bora na demokrasia

Yuko interested na kujenga mavitu akiamini kuwa hayo ndo maendeleo yenyewe anaacha kujenga mfumo imara ya haki na usitawi wa raia ambayo kimsingi ndo mifumo ya kuempower raia.

Nyerere naye wakati wa utawala wake kuna makosa mengi aliyafanya kama haya anayofanya Jiwe, kujilimbikizia madaraka, kuwa haambiliki, lakini alikuja kujua shetani aliloliunda miaka michache kabla ya kung'atuka na baada ya kung'atuka, ndo akawa anahaha kurekebisha mambo akiwa nje ya kiti. Alisaidia kiasi chake lakini ilikuwa too late!
 
Wewe bado sana utaota ndoto ndio kwanza Mwenyekiti wenu anaanza hii ni mpaka Oktoba 2025. Utakula msoto mpaka ujute pumbavuu.
 
Kuongoza taifa sio sawa na ku bet

Inahitaji mipango, maamuzi na msimamo wa kweli kwenye hiyo mipango
 
Kama ulimuua Ben saanane kama ulivyokuwa unamtishia hapa na ushaidi upo mzimu wake hatokuacha huru mpaka unaingia kaburini nakushauri utumie muda huu kutubu humuhumu ulikokuwa unamtolea vitisho
 
Back
Top Bottom