Mchanganuo wa wasomi katika baraza na Serikali ya Rais Magufuli

xing

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
203
31
Kwa Kifupi idadi ya
Mawaziri na Naibu Waziri ni 34, Kati ya hao:

Prof - 4
PhDs - 7
Masters - 20
1st Degree - 1
Diploma + - 2

Pata undani wa Elimu za Baraza:

Rais:

Dr. John Pombe Joseph Magufuli - PhD(Chem&Maths)

Makamu wa Rais:

Samia Suluhu - Msc (Comm. EC. Dev.)

Waziri Mkuu:

Kassim Majaliwa Majaliwa - (B.A.Ed)

BARAZA LA MAWAZIRI LA JPM:

Professors (Maprofesa):

1. Prof. Jumanne Maghembe
2. Prof. Makame Mbalawa
3. Prof. Sospeter Muhongo
4. Prof. Joyce Ndalichako

PhDs (Shahada za Uzamivu - Madaktari wa Kusomea)

1. Dr. Medard Kalemani
2. Dr. Augustine Mahiga
3. Dr. Ashantu Kijaji
4. Dr. Phillipo Mpango
5. Dr. Harisson Makyembe
6. Dr. Abdallah Posi
7. Dr. Suzan Kolimba

Doctors/Msc (Madaktari wa Binadamu) - wana shahada za Uzamili ktk Sayansi

1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Dr. Hamis Kigwangala

Engineers/Msc Engineering (Shahada za Uzamili ktk Uhandisi)

1. Eng. Gerson Lwenge
2. Eng. Ramo Makani
3. Eng. Hamad Masaun
4. Eng. Isaack Kamwele
5. Eng. Stella Manyanya
6. Eng. Edwin Ngonayni

Master of Science/Msc (Shahada za Uzamili ktk Sayansi)

1. Charles Kitwanga
2. January Makamba
3. Anastazia Wambula

Master of Laws/LLM (Shahada za Uzamili ktk Sheria)

1. Ummy Mwalimu
2. Antony Mavunde
3. William Tate Ole Nasha
4. Angella Kairuki

Master of Arts/MA (Shahada za Uzamili ktk Sayansi ya Jamii)

1. Mwigulu Nchemba
2. Jaffo Seleman
3. Angelina Mabula
4. Charles Mwijage
5. Nape Nnauye

Bachelor of Law/LLB ( Shahada ya Kwanza ya Sheria):
1. George Simbachawene

Stashahada za Ualimu/Wanaendelea na Masomo ya Uzamili:

1. William Lukuvi
2. Jenista Muhagama

NA KAMA ulikuwa na mpango wa kumwambia mwanao aishie ka-digrii kamoja shuleni awahi siasa na uteuzi basi think again enzi hizo zimeisha. Alianza na mawaziri hebu check hii ya MAKATIBU wakuu:

Pro. Kamuzora
Pro. Mkenda
Pro. Msanjila
Pro. Gabriel
Pro. Ntalikwa
Pro. Mdoe
Pro. Mchome

Dr. Ndumbaro,
Dr. Mtasiwa,
Dr. Mwinyimvua,
Dr. Turuka,
Dr. Mashingo,
Dr. Budeba,
Dr. Chamuluho,
Dr. Yamungu,
Dr. Kusiluka,
Dr. Meru,
Dr. Akwilapo,
Dr. Ulisubudya,
Dr. Pallangyo,
Dr. Likwelile,
Dr. Aziza,

Eng. Itombe
Eng. Mwihava
Eng. Nyamhaga
Eng. Malingo
Eng. Futakamba
Eng. Emannuel

Haya kazi kwako.....Hapa ni viongozi WASOMI & KAZI TU!
 
Katuma ujumbe mzuri sana kwa vijana, wasome kwa bidie. Anaonyesha kusoma inalipa kama unataka kufanikiwa kwenye tanzania ya sasa, kwani tunaitaji wasomi wengi ili tuweze kupata maendeleo.
 
Last edited:
@xing,

..hao Maprofesa wote ni PhD holders.

..kwa hiyo kuna jumla ya PhD 11 ktk baraza la mawaziri.

..ingependeza kama ungeongeza kwamba kuna wanajeshi wawili wenye cheo cha Meja Jenerali.
 
Kuwa na elimu sio utendaji.

Hata maprofesa wanakuwa mizigo pia.

Mfano. Prof. Magembe.
Ngoja tuwajaribu hawa. Miaka 50 tangu uhuru ilikuwa ya watu wenye practical knowledge zaidi ngoja tujaribu hawa wa theory nao watatufikisha wapi. Pengine wakaweka theory in practice.
 
Hawa wasomi wetu wa copy and paste na majigambo ya ma vyeti! Ngoja tuone itakuwaje

copy and paste, wakati ikitokea ukahitaji upasuaji sensitive, atakae ongoza iyo operation probably ni prof flani. labda elimu yako ndo copy and paste. paka wamefika hapo kwa uwezo mzuri wa sehemu walizo ongoza kabla. sitegemei kama hawakua na historia.
 
Sidhani kama kuwa maprofesa wengi katika serikali ni kielelezo cha kupata ufanisi.Rejea vioja vya Prof Muhongo na Prof Tibaijuka katika awamu ya nne.Binafsi naona hawa maprofesa wangetumika katika kufundisha na kufanya tafiti ili kutoa mapendekezo kwa serikali.Taaluma za kiada na uongozi ni mambo mawili tofauti.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma hajawahi kusoma na wakati huo huo uchumi wa Afrika kusini upo juu sana.
 
Ndalichako sio professor bali ni doctor
Huyu Ndalichako inaelekea aliongeza kaelimu maana ata hile karatasi ya Mh Rais ambayo aliandika kwa mkono ikaja hapa JF kipindi anamteua aliandika Proff
 

Attachments

  • 1451761217720.jpg
    1451761217720.jpg
    46.2 KB · Views: 79
Anybody... except tahira, ambaye ANATEGEMEA PERFORMANCE kwa Mtu kama Prof. Magembe ni UCHIZI.... So, Mtu kama Mwakyembe, Magembe hawa ni sawa na Shukuru Kawambwa, Hawa Ghasia... ZERO RESULTS KABISA... Nashangaa kuna watu wanategemea MAENDELEP KWA HAO...
 
Hapa angechanganya kidogo na akiina maji marefu,kibajaji,rameck Ailo-angalau kuakisi population ya wapiga kura maana wapiga kura wengi walikuwa standard 7 mpaka form
 
Mimi napingana na hii dhana ya kuweka PHD holders kwenye serikali. Wengi wao wanakuwaga much know sana yaani hawaamini kama kuna watu wanajua zaidi yao kitu ambacho ni wrong. Mtu kama Muongo ni arrogant sana yaani yeye kitu anachoona kwake ni sahihi basi ndo msimamo wa wizara kitu ambacho sio sawa. Baada ya miaka 5 tutajionea vihoja vya hawa mnaowaita wasomi japo mi siwakubali wasomi wa Tanzania.
 
Huyu Ndalichako inaelekea aliongeza kaelimu maana ata hile karatasi ya Mh Rais ambayo aliandika kwa mkono ikaja hapa JF kipindi anamteua aliandika Proff
we unadhani uprofesa unaingia darasani kuusomea kama phd au masters,uprofessor ni rank au cheo tu kama ilivyo mkuu wa idara au kiranja na hupatikana kwa kuandika papers vyuoni,huwezi kuwa profesor kama hauko kwenye education institute
 
Back
Top Bottom