Dkt. Mpango: Bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma, Waziri Mkuu tusaidie kuwashughulikia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,667
Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu.

Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa Sekta ya Manunuzi ya Umma.

Chanzo: ITV habari!

Maendeleo hayana vyama.

=====

Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango amesema katika kufyeka vichaka vya wizi, ubadhirifu, Rushwa na ufisadi kupitia ununuzi na ugavi wamebaini bado tatizo ni kubwa.

Amesema, "Tumefanya kaguzi katika baadhi ya Halmashauri kama Uvinza, Buhigwe, Singida, Mwanza, Bukoba na Ubungo. Kaguzi hizi zinabainisha mambo mengi ya ovyo".

Dkt. Mpango ameeleza kuwa #Sheria ya ununuzi na taratibu hazifuatwi, akisisitiza shida ni kubwa.
 
Serikali yote ni ya CCM hao wezi wanatoka wapi?
Kwani manunuzi yameanza jana, mbona wakati mwingine akili zenu mnakopesha na kubaki watupu?
Muwe mnauliza hata maswalibyenye maana basi
 
Back
Top Bottom