Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,470
2,000
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturoga watanzania sio tu kafa, bali kwa hakika alikuwa fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,810
2,000
Yaani wewe tangu uingie humu JF ni kulalamika tuu!! Wakati mwingine pumzisha akili zako lasiyo stress zitakuzeesha mapema au kifo kabisa.
Kuwanunua covid 19 kutumia pesa za umma kudidimiza demokrasia ni ulalamishi?
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
22,324
2,000
Hela za umma zimeliwa sana kupita zoezi hili la nunua nunua wapinzani....watu wa usalama waliopewa kitengo hiki cha manunuzi wanaishi peponi...kufa kufaana mjomba..hakuna hela tamu kama isiyo na retirements..!!

Naona hata Mkurugenzi wao wa manunuzi kapewa ka Ubunge ili akakisemee chama humo humo ndani na akaandike wapiga kelele moja kwa moja kwa babake


Miaka 59 ya Uhuru..hongera watanzania.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,810
2,000
Yaani wewe tangu uingie humu JF ni kulalamika tuu!! Wakati mwingine pumzisha akili zako lasiyo stress zitakuzeesha mapema au kifo kabisa.
Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia ni nyingi mno ni maradufu kwa kiwango cha kutisha kama kweli wanataka kubana matumizi ya pesa za umma waacha kutumia pesa za walipa kodi pesa za viwanda kudidimiza demokrasia
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,862
2,000
Siasa za Tanzania ni ajabu sana.....wakati mwingine unafikria akili za wanasiasa wetu na wafuasi wao unabaki na masikitiko..........nadhani Tanzania tuna siasa za pekee yetu zinazoendana na IQ zetu......
 

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,382
2,000
Pesa inayotumika kuwadhoofisha chadema ni kubwa mara 200 ya hivyo vipesa vya kununua kagali ka milion 400
Kama hivyo juhudi ni kubwa ,kukabiliana na wale wenye mawazo mbadala wakwamisha maendeleo.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,810
2,000
Kwahiyo wanasaccos wote ni wakununuliwa tu kama bidhaa za madukani eeh!!? Kumbe watz wanaona mbali sana kuwanyima kura!
Watz wa wapi unawasemea? Kwa uchaguzi upi? Wapi? ingekuwa saccos mngehangaika kutumia mabilioni kuiangamiza? Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,810
2,000
Pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Tanzania Taifa kwa ujumla ni kubwa kuliko hilo vx la milion 400, kama kweli mtukufu kadhamilia kubana matumizi waache kutumia pesa za walipa kodi kuwahujumu wapinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na mambo mengineyo ya hovyo yanayotumia pesa nyingi zaidi
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,810
2,000
Pole kama wamekunajisi na kukubaka lakini ilikuwaje ukakubali kubakwa na kunajisiwa wakati unajifanya you are so educated??
Polisiccm jwtzccm mahakamaccm wakurugenziccm Msajiliccm Uhamiajiccm magerezaccm mpaka Tbcccm ni mali binafsi za CCM hapo kuna haki kwa wapinzani? Haki inatokea wapi?
 

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,323
2,000
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

Jimbo moja la uchaguzi halitumii zaidi ya bilioni moja kwenye uchaguzi wa mbunge?

Alieturgo hakika ni fundi!

Hii nchi sio ya kuzaliwa kabisa!
Io ya uchaguzi wa marudio iko kwenye budget.

Alafu si ufisadi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom